Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
Ngoja nihifadhi hii list kwa matumizi ya baadae.bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Huo ndio umri mzuri kijana, actually kwangu 28+ ndio ananifaa, hata wakati natafuta ubavu sikushuka chini ya hapo. Vitoto vinasumbua sana...Anaanzia 30yrs mkuu.
Hebu jiulize wanaume tofauti wamemgaragaza tangu 15-29yrs hadi kuwa skrepa kabisa.
Nakuonea tamaa sana kakaKwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
Yani dah, nilikua sijacheka this weekend, Kwa jinsi ulivyoparangua hao wakongwe...kuanzia sinia bachela mpaka fidimasho. Msiwaonee wazee wa watu jamani, eti sponsor, wanapendezesha wengi hapa town!...nahawana tabu kugongewa na vijana wa mikoani hahahahahbachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] chilax ikifka zam yako utaitwa....Namie narusiwa kujongea huko chembani,au protocol ni first come first serve?[emoji6]
Sponsor na waheshimiwe na wadada wote wa mujini....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Yani dah, nilikua sijacheka this weekend, Kwa jinsi ulivyoparangua hao wakongwe...kuanzia sinia bachela mpaka fidimasho. Msiwaonee wazee wa watu jamani, eti sponsor, wanapendezesha wengi hapa town!...nahawana tabu kugongewa na vijana wa mikoani hahahahah
You made my day.
Muoane ndio inakuwa poa ili msaidiane sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni MCHOYO!
Hayo yote hayana maana.
Umenitamanisha kinomaaa...[emoji134][emoji134][emoji134]
Wasiliana na Max ulipie hili tangazomadem wengi wanakuja hom for one night stand hawamini km nipo single.yn kuanzia stting room,kitchen,toilet,bedroom ni km kwa cr7 getto la ukweli kishenzi.Bila kusahau soft drink kwa friji kusema nawagonga dada zenu teh teh napata sana usumbufu kitaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imeniuma haswaa...
Ndo naaga usenior kuingia principal Bachelor, na sioni dalili za kustaaf.
Ee mola tenda muujiza.
Senior bachelor [emoji4] [emoji4]bachelor rankings...
18 - 22 yrs - Bachelor I
23 - 26 yrs - Bachelor 2
27 - 29 yrs - Senior Bachelor
30 - 33 yrs - Principal Bachelor
34 - 37 yrs - Deputy Chief Bachelor
38 - 40 yrs - Chief Bachelor
41 - 48 yrs - Bachelor General
49 - 53 sponsor
54 yrs............Field Marshall.
C&P
Ahlan wa sahlan,ngoja nirudi jamvini niendelee kuvuta uradi[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] chilax ikifka zam yako utaitwa....
Kwa kweli kila siku najivunia na naona fahari kukaa kando na pirika pirika za mapenzi....ni kama vile nimeutua mzigo mzito kichwan na moyoni.......
Kuishi kibachela ni raha sana.....kwani kila kitu kinakuwa under your control.......
Sikirii hata kuoa....na sijui kama tena nitaweza kuishi na mwanamke.........
Mwenyewe unapanga ule nini.....unapanga ndani kwako paweje......na mpangilio wa vitu vyako vinakuwa bora sana.....
Chumbani kwako kunakuwa kama paradiso ndogo.....ni mahali ambapo unatuliza moyo wako na pirika pirika za mji na maisha.....
Muda huu nipo zangu ndani kimya....huku nimeshika kitabu nikiongeza maarifa.....nikisindikizwa na mixing kali za wakina BOYZ II MEN.....Joe Thomas.....R Kelly.....bila ya mkuwasahau wakali blue....kama Ken G....na Bryan Adam.....mimi ni ndani tu......jikoni nikisubiri mchanganyiko wa ndizi na nyama viive nishushie na juice ya embe..........
Its lots of funny here......
Unanicheka nifah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fiel Marshall ....... labda ningeongeza (+) pale kwenye 54.....Mpwa mbona hujaweka kuanzia miaka 70 wanaitwaje....!!???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni MCHOYO!
Hayo yote hayana maana.
Umenitamanisha kinomaaa...[emoji134][emoji134][emoji134]
Baadhi yao wamekua wakifanya mambo poa sana pamoja na kua ni mabachelor,kwa mfano Rais Ian Khama .wa Botswana yeye bado ni Bachelor,na kulingana na rank za mdau humu jf nadhani atakua ni Field Marshal kwani yule Bwana atakua na miaka isiyopungua 63 kwa sasa,na juzi hapa taasisi ya UN Economic & social Council imemtangaza kuwa ni rais bora kabisa duniani na wamempa uwezekano wa kuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa kama akitaka(japo sidhani kama rotation ya mabara itamruhusu) ,kwa hiyo mabachelor wamepata role model.Kama upo 55+ na unaona ni kawaida, wewe umebarikiwa. Kwa walio wengi huo ni umri mbaya hasa ikianza barehe ya pili kwa mwanaume
Inabidi kuongeza wigo wa fursa......Fanya hivyo mpendwa..Hii bachela niliyonayo inanitosha..Sitaki kuongeza tena
Huyo ni bidada siyo JamaaJamaa umenifurahisha sana....hasa kuanzia kwenye cheo cha deputy chief bachelor