Ogopa ma senior bachelor

Cc le mutuzzzz
 
Ofcoz being a bachelor sio jambo baya hilo halina ubishi then once a bachelor kujipenda ni jambo zuri. Being smart, attractive, mwenye kujijali + kujitambua makes ur personality high
 
Kwa hiyo Lembebez ni Field Marshal??? Jina safi kabisa. Ninakumbuka Field Masrshal Radi ya Umeme.
 
Imeniuma haswaa...

Ndo naaga usenior kuingia principal Bachelor, na sioni dalili za kustaaf.

Ee mola tenda muujiza.
 
Umesahau kuandika katika mambo unayoyafanya hapo ulipo ni pamoja na kupitia jf kuangalia kuna nini ili uweze kusocialize na wana jf na kutupia maoni yako.
 
madem wengi wanakuja hom for one night stand hawamini km nipo single.yn kuanzia stting room,kitchen,toilet,bedroom ni km kwa cr7 getto la ukweli kishenzi.Bila kusahau soft drink kwa friji kusema nawagonga dada zenu teh teh napata sana usumbufu kitaa
 
Hii ni kiashiria tosha kuwa tunahitaji Ndoa za mikataba....mwaka mmoja au miwili mna renew au kila mtu anachukua ustaarabu wake.
 
madem wengi wanakuja hom for one night stand hawamini km nipo single.yn kuanzia stting room,kitchen,toilet,bedroom ni km kwa cr7 getto la ukweli kishenzi.Bila kusahau soft drink kwa friji kusema nawagonga dada zenu teh teh napata sana usumbufu kitaa
Waoe sasa acha kuharibu Dada zetu hata kama hawajitambui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…