Ogopa ma senior bachelor

 
Ndo matatizo ya kutumia Google Translate kutafsiri kiswahili kwenda kwenye yai,nahisi kama na wewe ni mhanga wa hyo zahma.Au labda ulikuwa unafanya trolling
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiii
 
Mkuu......
Imemaliza kabisaaaa[emoji135] [emoji135]
Ebu ngoja nikapike ugali mie
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Na ulivyo mashuhuri kushauri wana ndoa...

Huna tofauti na kibao kinachoelekeza njia ambayo chenyewe hakijawahi kupita..
 
54 yrs............Field Marshall. le mutuz himself
 
Mbona hamuishi kumnanga lemutuz
Nimeunganisha hizi comments, then nikajikuta nacheka sana aiseee
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kama upo 55+ na unaona ni kawaida, wewe umebarikiwa. Kwa walio wengi huo ni umri mbaya hasa ikianza barehe ya pili kwa mwanaume
 
Ndo matatizo ya kutumia Google Translate kutafsiri kiswahili kwenda kwenye yai,nahisi kama kama na wewe ni mhanga wa hyo zahma.Au labda ulikuwa unafanya trolling
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Hii ina apply kwa me na ke?
 

Mpwa, nimecheka sana. Msome BADILI TABIA then uniambie una uzoefu kiasi gani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…