
We jamaa ni mwanaume kamili maana sikuelewi na matukio yako kabisa kutoka moyoni niwe mkweli sioni tabia za kiume kabisa kwako, una shida gani?
una mwandiko kama wa jemsi delishaz akiandika lazima aoneze aa ee oo ]na kuendeleaumaskini wako ndo hnakufanyaa ufikiriee ilaa ungekuwaa na mambo ya kufanyaaa hata papuchi kukumbukaa usingeiwaziaaa kilaa kitu kina mudaa na kiasi usingizieee uanaumee ni ukosaji wa kazi na kukosaa cha kufikiriaa
Si umshikishe meza hapo hapo ofisini mkuu! Kwa nini upate shida?wadada muwe na huruma na sisi kaka zenu huku maofisini. huyu secretary ni mke wa mtu leo kanifanyia makusudi ameliamsha dude mpaka muda huu linahema tu. kavaa nguo fupi halafu kaja ofisini kwangu kanigusisha makalio yake usoni akijifanya anainama..makusudi na hii si mara ya kwanza.
kazi haziendi akili yangu haipo hapa..yeye anacheka tu na kunifanyia kusudi..... hii ni nini?
Mmmh hii huwa IPO kwa mwalimu sana sanaNi ofisi ya serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania au ni ya kampuni binafsi?
Kama ni ofisi ya serikali mbona kuna waraka wa mavazi ya watumishi wa umma?