ofisi za uhamiaji

neyl

Senior Member
Nov 23, 2011
127
19
habari... samahani jaman naomba kuelekezwa zilipo ofisi za uhamiaji
 
ofisi za zamani za UN maeneo ya TRA, nyingine makao makuu wizara ya mambo ya ndani zinatazamana na BOT, nyingine ilala maeneo ya shoprite
 
Ofisi za Uhamiaji Makao makuu ziko kurasini karibu na chuo cha Diplomasia au sekondari ya jitengemee. Nenda huko utaziona ndiko Jengo lao jipya lilipo, hazipo tena mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom