Ofisi za uhamiaji punguzeni gharama za passport

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,191
1,231
Barua ya wazi kwa wizara inayo shughulika na office za uhamiaji

Kulingana na hali ya ajira kuwa ngum ktk nchi yetu pendwa ya jamhuri ya mungano wa Tanzania, ningeomba basi walifikilie jambo hili la upatikanaji wa Passport ili vijana wetu wenye uwezo wa kutoka na kwenda nchi nyingine hata za jirani waweze kwenda ili wajitafutie ajira huko.

Jamani kilio changu ni kuona gharama zinapunguzwa ili waweze kusitahimili,
Lakini pia Serikali itangaze hadharani gharama za chanjo ya homa ya manjano

. Mwisho natoa onyo, naona vijana wengi hum maneno yenu mengi /mipango yenu mingi ni kwenda njee ya Tanzania, huko mnako kwenda jaribuni kuwa wasitarabu,

Ukisha itwa kijana basi jitambueni,
Lakini pia mkitoka, msiwasahau, wazazi, wake zenu, marafiki zenu

Ukifanikiwa wakumbuke wenzako, waonyeshe njia uliyo pitia
Mwisho, naomba watu mnao hitaji kwenda njee ya nchi, mlete uzi rasmi, mjadiliane, mnakwenda wapi kwa ajili ya nini Nk.

Mungu atawabariki sana mkiwa na umoja, usiwe umoja wa kijinga uwe umoja wa kujenga taifa.

Mbarikiwe sana.
 
Tunafanya hivyo mkuu ukizigatia hata amri ya mungu inasema; Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani. Kuwaheshimu si kuwapigia simu na kuwasalimia kwa kisukuma ama kimakunduchi isipokuwa hata kuwajali kiuchumi na kuwatembelea pindi upatapo nafasi.
 
Barua ya wazi kwa wizara inayo shughulika na office za uhamiaji

Kulingana na hali ya ajira kuwa ngum ktk nchi yetu pendwa ya jamhuri ya mungano wa Tanzania, ningeomba basi walifikilie jambo hili la upatikanaji wa Passport ili vijana wetu wenye uwezo wa kutoka na kwenda nchi nyingine hata za jirani waweze kwenda ili wajitafutie ajira huko.

Jamani kilio changu ni kuona gharama zinapunguzwa ili waweze kusitahimili,
Lakini pia Serikali itangaze hadharani gharama za chanjo ya homa ya manjano

. Mwisho natoa onyo, naona vijana wengi hum maneno yenu mengi /mipango yenu mingi ni kwenda njee ya Tanzania, huko mnako kwenda jaribuni kuwa wasitarabu,

Ukisha itwa kijana basi jitambueni,
Lakini pia mkitoka, msiwasahau, wazazi, wake zenu, marafiki zenu

Ukifanikiwa wakumbuke wenzako, waonyeshe njia uliyo pitia
Mwisho, naomba watu mnao hitaji kwenda njee ya nchi, mlete uzi rasmi, mjadiliane, mnakwenda wapi kwa ajili ya nini Nk.

Mungu atawabariki sana mkiwa na umoja, usiwe umoja wa kijinga uwe umoja wa kujenga taifa.

Mbarikiwe sana.
Nilisikia serikali ya Kenya inawahitaji madokta iliishia wapi? Nataka kwenda Kenya nikafanye kazi. Nimechoka kuwa mtumwa ktk nchi yangu Tanzania
 
Madakitari wa Kenya watakwacha salama? Nenda aisee ukifika niambie nataka pia.
 
Barua ya wazi kwa wizara inayo shughulika na office za uhamiaji

Kulingana na hali ya ajira kuwa ngum ktk nchi yetu pendwa ya jamhuri ya mungano wa Tanzania, ningeomba basi walifikilie jambo hili la upatikanaji wa Passport ili vijana wetu wenye uwezo wa kutoka na kwenda nchi nyingine hata za jirani waweze kwenda ili wajitafutie ajira huko.

Jamani kilio changu ni kuona gharama zinapunguzwa ili waweze kusitahimili,
Lakini pia Serikali itangaze hadharani gharama za chanjo ya homa ya manjano

. Mwisho natoa onyo, naona vijana wengi hum maneno yenu mengi /mipango yenu mingi ni kwenda njee ya Tanzania, huko mnako kwenda jaribuni kuwa wasitarabu,

Ukisha itwa kijana basi jitambueni,
Lakini pia mkitoka, msiwasahau, wazazi, wake zenu, marafiki zenu

Ukifanikiwa wakumbuke wenzako, waonyeshe njia uliyo pitia
Mwisho, naomba watu mnao hitaji kwenda njee ya nchi, mlete uzi rasmi, mjadiliane, mnakwenda wapi kwa ajili ya nini Nk.

Mungu atawabariki sana mkiwa na umoja, usiwe umoja wa kijinga uwe umoja wa kujenga taifa.

Mbarikiwe sana.
Fuatulia nchi nyingine utajua pasport ya tz ni bei nafuu kuliko nchi nyingi
 
Tena ningewashauri hao Uhamiaji wazidishe zaidi hiyo gharama kwani Watanzania wanaozipata wakisafiri tu huko abroad au overseas ndiyo wamekuwa wakikutia aibu Tanzania kwa kufanya Vitendo vya ajabu kabisa ambavyo vingine ni kinyume kabisa na maadili ya Mungu na ya Waafrika pia.
 
Na bei ya mafuta ipande maradufu kwasababu kuna watu wanatumia magari yao vibaya wanasababisha ajali na vifo..
 
Back
Top Bottom