Ofisi za Uhamiaji Kurasini kulikoni?

Veve hata ukija india ss tafukuza vv mana nataka ss fukuzwa tanzania, lakini ipo jamaa pale hydrapradesh yy ni tanzania pia najua kukwepa kodi ss kwa nn ss nakwepa vv nakuwa kali dugu
 
Kwa kweli sikuwahi kufikiria kuwa mbaguzi, lakini kuna Mhindi mmoja Kampuni mpya ya Cement alitoa matusi kwa mfanyakazi wake kisa Work Permit zinachelewa kutoka, alimwambia mfanyakazi wake "Go and *f*u*c*k, the immigration people, if you don't *f*u*c*k, I will *f*u*c*k you" Niliondoka pale ofisini nikiwa mnyonge sana kwa udhalili huo.
 
pale Uhamiaji kurasini zile kamera ni geresha tu. hamna hata moja inayo fanya kazi. mi nilipanda kule juu ghorofani kuangalia hawa wahindi wanapanda kufanya nini? kumbe kule wanaenda kupeana chai na kupeana siku ya kuja kuchukua passport. Mia
 
Aisee Kama kuna mambo yamsingi yamewahi kuongelewa JF hili ni la kwanza hebu tuyape nafasi hoja hizi sio kafulila,Zito na lowasa Mara Dr slaa Mara Nape Mara JK Ujinga tu haya ndio mambo ya msingi wakishughulikia washughulikie wakiacha waache

Hawa wageni wamejaa ndugu zangu sijui kwanini Hadi wapiga picha pale Photo Point ni waphilipines na pale Trauma hospital wamejaa kibao wengine wapishi na Ma nurse hivi hatuna manurse wabongo kweli?

Sasa uhamiaji mmezidi acheni Ujinga muwe wazalendo watu wakisema mnasema majungu Hadi Photo grapher mphilipines ?
 
ss wahindi napenda tz mana iko cheap labour, pia pale eneo naitwa labour iko dada moja naitwa fatma ile nahonga kidogo haina ttz yy natoa kibali ya kufanya kazi. Mm nakuja tz since 1990 so iko na biashara mingi pia naingiza wahindi mingi saaaaana jamani mm penda tz ndio mana kila maka nabadilisha majina hoteli hakuna ttz vv taka napewa kibali na tic najua hiyo vv au nakuwaa kali tu
 
ss wahindi napenda tz mana iko cheap labour, pia pale eneo naitwa labour iko dada moja naitwa fatma ile nahonga kidogo haina ttz yy natoa kibali ya kufanya kazi. Mm nakuja tz since 1990 so iko na biashara mingi pia naingiza wahindi mingi saaaaana jamani mm penda tz ndio mana kila maka nabadilisha majina hoteli hakuna ttz vv taka napewa kibali na tic najua hiyo vv au nakuwaa kali tu[/

Tatizo haya mambo ya kizalendo hayapewi nafasi humu kwenye JF ni chadema na CcM tu Ujinga. Kuna mambo ya msingi tupeane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom