OFISI ZA TCU......Msaada please....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OFISI ZA TCU......Msaada please....!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by NGOSWE.120, Jul 13, 2011.

 1. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Wakuu wana Jf,

  Naomba kufahamishwa Ofisi za TCU zilipo hapa jijini DSM, I mean ni mitaa ipi/ maeneo gani.

  Je nikitokea Ubungo nipande dala dala za wapi na nishukie kituo gani?

  Natanguliza shukrani zangu za dhati.

  Ngoswe.120
   
 2. c

  chororingo Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 15, 2008
  Messages: 62
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  Panda basi mpaka mwenge halafu chukua basi kwenda kariakoo au posta teremkia kituo cha sayansi. Fuata njia ya mikocheni kwenda kwa mwalimu nyerere baada ya Rose Garden Bar kwenye kona ile kali utaziona zipo mkono wa kulia kama unakwenda kwa mwalimu.
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,314
  Likes Received: 5,606
  Trophy Points: 280
  Mkono wa shoto kama watokea rose garden......
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa urahis zaidi!ukifika hapo sayans unakamata ki bajaji kwa shs 1,000 tu unafika hapo!kama huogop pikipiki n shs 500 tu
   
 5. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Nawashukuru sana wakuu hapo juu kwa kunisaidia kunipa hiyo ramani/maelezo ya kuniwezesha kufika hapo tcu!

  Mungu awabariki sana!
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Jul 25, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,720
  Likes Received: 8,274
  Trophy Points: 280
  Duh...nimegoogle hii mambo nikaletwa hapahapa nyumbani...shukrani sana wakuu! nadhani kibajaj kinanihusu maana hata huko kwa mwalimu Nyerere sipajui!
  Hizo ofisi ziko upande huo huo wa sayansi ama ni lazima kuvuka barabara!??
   
 7. eucalyptos

  eucalyptos JF-Expert Member

  #7
  Jul 25, 2011
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 381
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Umeambiwa kuelekea kwa Mwalimu Nyerere = the opposite side of COSTECH (SAYANSI). So Kibajaj atakufikisha
   
 8. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #8
  Jul 25, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ukishuka Sayansi, utakuta kuna bajaj/pikipiki waulize Office Tcu watakuelekeza! Ni umbali wa 600M! All the best!
   
Loading...