Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Elimu elimu elimu,,,,,, bibi yako anavyo visibitisho vyaufisadi uo...... Magufuli kwann asiwafunge yani ww unavithibitisho kuwazidi wao,,, AMKA MTANZANIA NGOJA YAKUKUTE,,,, INSHAHLLAH
Acha hasira kwenye mada hii.
 
Nawapenda sana hawa jamaa. Cjui kuna utaratibu gani unafuatwa ukitaka wakulinde nyumbani kwako au ukiwa unasafiri na kamzigo ka misimbazi.

Hawa jamaa wanapiga kazi sana na ni watiifu. Ukiwapa maagizo wanatimiza bila kubisha.
Ukitaka wakulinde kaidi tu amri yao.
 
Chadema viongozi wetu msirudi nyuma mpaka mikutano ya hazara ifanyike kama katiba inavyo sema sio kuogopa police wakati police tuna lalanao mitani haki siku zote hupiganiwa mana manyanyaso yamezidi
 
Chadema viongozi wetu msirudi nyuma mpaka mikutano ya hazara ifanyike kama katiba inavyo sema sio kuogopa police wakati police tuna lalanao mitani haki siku zote hupiganiwa mana manyanyaso yamezidi
Sema Chadema tusirudi Nyuma . Siyo wasirudi nyuma.
 
Naona hatari Azam hapa"Lowassa na vigogo wa CHADEMA wakamatwa"
Mungu wangu nakiona kitu kinanyemelea Tz.
 
Maandamano hayazuiliwi watu tutaandamana hata kupitia mioyo. Kumbuka suala hili ni la kiroho pia kama halitotimizwa sept mosi basi waliandae kwa next uprising ambayo haitakuwa na promo yoyote na itatokea pasipo wao kujiandaa na magari yao ya washa washa na yale yenye ving'ora. Kumbuka kuna watu juzi walikatiwa katiwa matikiti yao na vibanda kuvunjwa. Kumbuka kuna damu zimemwagika za akina Mwangosi nazo zinalilia visasi na bado mnajiandaa kumwaga nyingine na kutesa watu.
 
Back
Top Bottom