Tetesi: Ofisi za CHADEMA Makao Makuu na Kwenye kanda 8 zipo chini ya uangalizi wa Polisi

Nashauri tuunde jeshi tu na tupigane nao, wanajiona wana nguvu kumbe waoga tu
 
Wanajiamini ndiyo maana wameamua kuwapandia huko huko, wachagga mwaka huu mnalo
Hakuna kitu km hicho kwanza tambua sisi hatufanyi.vurugu wala hatutaki kuvunja sheria ila we madiba nakuona km mtu wa shari kiasi kwamba unataka tujibu mapigo.tulia muda bado utafik a tu maandslizi ni mhimu kuliko unavyo fikori
 
Hali ya hatari haitangazwi kwa kutumia jeshi la Polisi, wawalete wajeumani wao , hali ya tahadhari itatangazwa ru.


ataweweseka sana mtukufu mana kila mkutano apige chabo kazi ipo mshika mawili moja humponyoka.
 
Na bado mtanyoooka tuu hu mwaka...tunaye rais mmoja tuu hii nchi

Kwahiyo nguvu mmegeuzia kuziweka chini ya ulinzi ofisi za vyama vya upinzani,itakua nguvu za kujenga viwanda hamna,basi sawa,mashaeleweka....
 
Jaribu tu hizo njia nyingine utakiona cha moto unafikiri hii serikali imewekwa na familia yako, ni serikali iliyowekwa na watu zaidi ya milioni sita
 
Wako sasa kabisa maana ukiwa unamkumbiZa sungura na akaingia kwenye kichuguu utabaki nje ukilinda ili akitoka tu upige kichwa.
 
Hawa jamaa bwana sijui uwa nawaonaje. Any way nawapenda polisi wa Tz kwa uchapakazi uliotukuka
 
Kwa sababu wazungu walimuelewa. Wasingeelewa wangechapwa tu.
Wazungu wakitaka wanaweza kukuoa wewe pamoja na unayemsujudu. Na wanawatuma nduguzo wakushughulikie na majiti kama yule jamaa yenu mliyekuwa mnamtaja wakati wa kampeni.
 
Back
Top Bottom