sio huko ulikomuelekeza, ofisi ipo makumbusho barabara inayoingia mabasi kituoni kuna kinjia kinanyosha kama unaenda shule ya msingi makumbusho geti utakaloliona ndio humo.
Kuna kibarabara cha vumbi kabla ya barabara inayoingia makumbusho. Kuna kama kijimlima katika eneo la barabara hiyo ukitokea Morocco. Fuata hiyo njia utakutana na Bango la Bakita
bakita ipo karibu na shule ya makumbusho kinachotenganisha ni kibustani cha mboga za mchicha pia kuna waosha magari hapo so ukifika shule ya makumbusho bac unaulizia bakita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.