Ofisi ya Waziri mkuu kuanza kutumia usafiri wa bajaji na bodaboda lengo ikiwa kubana matumizi.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,689
22,703
Ofisi ya Waziri Mkuu itatumia usafiri wa bajaji nabodaboda kuendesha shughuli zake kuanzia mwaka ujao wa fedha wa 2016/2017 ikiwa ni mkakati wa kubana matumizi wa Serikali ya Awamu ya Tano.

Kama umefurahishwa na swaga hizi za ofisi ya Waziri mkuu comment neno 'YES' na kama unaona wanazingua comment 'NO'



Chanzo : EATV
uploadfromtaptalk1461419562146.jpg
 
No! Hasa ni akina nani watakatumia bajaji na akina nani watumie pikipiki.?

Pili! Nataka kujua kama ni kweli watatumia usafiri huo, kwa nini asitoe agizo kwa wizara zote kwa sababu yeye ndo msimamizi mkuu wa shughuli za serikali?
 
Wanacheza sana na usalama wao binadamu eti mkulu sponsor kwanini hawa politicians hawasikilizi ushauri wa
 
unaweza kuta ni kwa ajili ya kupeleka documents toka ofisi moja hadi nyingne
 
Upuuzi huo hata hiyo enzi za Mwl watu walikuwa wanatumia magari wanachopaswa ni kubadili muundo wa aina ya magari toka GX V8 hadi klugger ama harrier
 
Ndio vizuri wakichoka kupanda baiskeli watembee ya mguu Dar mpaka Moro sio mbali
 
kama ndo hivyo nahis bajeti ijayo watakuja na tamko kuwa ni marufuku kwa mfanyakazi wa serikali kusafiri kutumia ndege anapoenda kutekeleza majukumu yake ya kikazi na kuudhuria seminar na vikao mbalimbal ndani ya nchi kisa kubana matumizi mtu akae kwenye basi Siku 3 tunarudi kulekule enzi za Uhuru. Kumbe ndo maana wananchi wa ugirik walikuwa wanapiga Sera za serikali yao.
 
Back
Top Bottom