tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
Tukisema matumizi mabaya ya mali za umma ndiyo haya.
Kama ofisini kwa tume huru ya uchaguzi taifa tayari kuna picha ya mgombea urais maana yake rais ajae anafahamika tayari, kama mshamjua kwanini mharibu pesa za kampeni? Si bora mumpitishe yaishe hizo pesa zikafanye kazi nyingine?
Mnalikosea sana neno ''HURU'' mnaita tume huru ya uchaguzi taifa, uhuru wake uko wapi? Ataendelea kukumbukwa Captain Thomas Isdor Sankara ''Who feeds you contorols you''
Soma pia: Mabango yenye matangazo ya vipeperushi vya wagombea Urais kwenye uchaguzi Mkuu lazima uombe kibali tume huru ya uchaguzi