"Quinine, nakuomba uache uchochezi kwa kutafasri vibaya takwimu- ulichoeleza siyo sahihi.NBS Report “Tanzania in Figure 2018”
Agosti 10, 2019
Kwa kifupi.
Dar es Salaam. Ripoti mpya ya takwimu za Tanzania imeeleza kuwa ajira zinazotengenezwa na sekta binafsi zimepungua kwa asilimia 42.6 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita, jambo linalotoa changamoto kwa vijana na wadau wa maendeleo kubuni njia mbadala za kuondoa tatizo la ajira nchini.
- Ajira rasmi zilizotengenezwa na sekta binafsi zimepungua kutoka 239,017 mwaka 2016/2017 hadi kufikia ajira 137,054 mwaka 2017/2018.
- Pia ajira rasmi zilizotengenezwa na Serikali zilipungua kutoa 82,302 hadi 18,000 ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 78.1 katika kipindi hicho cha mwaka mmoja.
Ripoti hiyo iliyopewa jina la “Tanzania in Figure 2018” iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Juni 2019, inaonyesha kuwa ajira rasmi zilizotengenezwa na sekta binafsi zimepungua kutoka 239,017 mwaka 2016/2017 hadi kufikia ajira 137,054 mwaka 2017/2018.
Hiyo ni sawa na anguko la asimilia 42.6 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja katika sekta hiyo inayotegemewa kuajiri watu wengi nchini.
Hali hiyo inaweza kuwa imesababishwa na kupungua kwa shughuli za biashara katika kipindi ambazo zilikuwa zinakabiliwa mazingira yasiyoridhisha kwa wawekezaji ikiwemo urasimu katika upatikanaji wa vibali na utitiri wa kodi na tozo.
Hata hivyo, katika bajeti ya mwaka 2019/2020, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango alisema Serikali imekusudia kuboresha mazingira ya biashara kwa kuondoa kodi na tozo zinazowaumiza wawekezaji.
Pia ajira rasmi zilizotengenezwa na Serikali nazo zilipungua kutoa 82,302 hadi 18,000 ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 78.1 katika kipindi hicho cha mwaka mmoja.
View attachment 1179274
My Take: Namba huwa hazidanganyi.
2018 | 2017 | ONGEZEKO | |
SERIKALI | 18,000 | 82,302 | (64,302) |
MIRADI YA SERIKALI | 397,009 | 32,147 | 364,862 |
SEKTA BINAFSI | 137,054 | 239,017 | (101,963) |
JUMLA | 552,063 | 453,466 | 98,597 |
NBS Report “Tanzania in Figure 2018”
Agosti 10, 2019
Kwa kifupi.
Dar es Salaam. Ripoti mpya ya takwimu za Tanzania imeeleza kuwa ajira zinazotengenezwa na sekta binafsi zimepungua kwa asilimia 42.6 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja uliopita, jambo linalotoa changamoto kwa vijana na wadau wa maendeleo kubuni njia mbadala za kuondoa tatizo la ajira nchini.
- Ajira rasmi zilizotengenezwa na sekta binafsi zimepungua kutoka 239,017 mwaka 2016/2017 hadi kufikia ajira 137,054 mwaka 2017/2018.
- Pia ajira rasmi zilizotengenezwa na Serikali zilipungua kutoa 82,302 hadi 18,000 ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 78.1 katika kipindi hicho cha mwaka mmoja.
Ripoti hiyo iliyopewa jina la “Tanzania in Figure 2018” iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Juni 2019, inaonyesha kuwa ajira rasmi zilizotengenezwa na sekta binafsi zimepungua kutoka 239,017 mwaka 2016/2017 hadi kufikia ajira 137,054 mwaka 2017/2018.
Hiyo ni sawa na anguko la asimilia 42.6 ndani ya kipindi cha mwaka mmoja katika sekta hiyo inayotegemewa kuajiri watu wengi nchini.
Hali hiyo inaweza kuwa imesababishwa na kupungua kwa shughuli za biashara katika kipindi ambazo zilikuwa zinakabiliwa mazingira yasiyoridhisha kwa wawekezaji ikiwemo urasimu katika upatikanaji wa vibali na utitiri wa kodi na tozo.
Hata hivyo, katika bajeti ya mwaka 2019/2020, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango alisema Serikali imekusudia kuboresha mazingira ya biashara kwa kuondoa kodi na tozo zinazowaumiza wawekezaji.
Pia ajira rasmi zilizotengenezwa na Serikali nazo zilipungua kutoa 82,302 hadi 18,000 ikiwa ni sawa na anguko la asilimia 78.1 katika kipindi hicho cha mwaka mmoja.
View attachment 1179274
My Take: Namba huwa hazidanganyi.
(Ongezeko) ina maana ya (-ve upungufu)"Quinine, nakuomba uache uchochezi kwa kutafasri vibaya takwimu- ulichoeleza siyo sahihi.
USAHIHI
2018 2017ONGEZEKO SERIKALI 18,000 82,302 (64,302) MIRADI YA SERIKALI 397,009 32,147 364,862 SEKTA BINAFSI 137,054 239,017 (101,963) JUMLA 552,063 453,466 98,597

Serikali yeyote inayoshindwa kutoa ajira kwa vijana wake inapaswa kujiuzuru tu , miaka minne bila ajira hii si tu kwamba ni aibu bali ni janga kubwa sana .
Kesho utenguzi wa mkurugenzi wa Nbs utafanyika. Atateuliwa mwingine kutoka chuo cha ardhi
Ndio madhara ya mtu mmoja kudhani ana akili kushinda wotekosa kubwa lililofanyika ni kuiua/ kuibana/ kuidumaza sekta ya watu binafsi. Duniani kote private sector ndiyo engine of economic growth/ creator of employment sasa leo sera za awamu ya tano zimeikandamiza sekta hii. hii ni hatari. huwa ninajiuliza seriakli yetu haina washauri wa uchumi wamsaidie mh rais wetu kubuni fiscal and monetory policies zitakazokuwa na tija kwa nchi yetu?? Balaa jamani. tutarajie vijana wetu wataishi maisha gani, yenye ufukura, tegemezi. Nafikiri ilani ya CCM imefeli tena kama ni maksi CCM wapewe sufuri yenye masiskio. ktk uchaguzi wa 2020 lazima CCM ijitafakri kwa kushindwa kutimiza ilani yao.
Ambacho siyo sahihi ni nini, nimenukuu kilichoripotiwa na NBS kuwa ajira sekta binafsi na serikali zimepungua uongo uko wapi."Quinine, nakuomba uache uchochezi kwa kutafasri vibaya takwimu- ulichoeleza siyo sahihi.