Ofisi ya kupanga Dar-Ubungo, Kinondoni

ze farmer

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
921
1,800
Wakuu habari.

Nataka kuwa na ofisi ndogo kwa ajili ya mitikasi yangu. Napendelea maeneo ya ubungo mpaka manzeshe along the road au near mlimani city, sinza moroco plus kinondoni. Pia niko flexible kama nitapata maeneo jirani na hayo tajwa.
NB. Simple ofisi ya less than 500k per month.

Mwenye connection au anajua wapi naweza pata

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom