sisi ni ndugu
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 121
- 138
DPP anaweza akafuta mashitaka ila si kuzuia uhukumu ilotolewa...over.
Sasa hukumu itatokaje na shtaka lishafutwa?
DPP anaweza akafuta mashitaka ila si kuzuia uhukumu ilotolewa...over.
Awe billionea kwa kukubali kupokea Rushwa ? Wewe inaonyesha ungekuwa na cheo chake ungekuwa billionea kwa kupokea rushwa. Taifa hili laelekea wapi jamani?Mimi nadhani wanaposema HAKIMU au Jaji ndio wenye maamuzi ya mwisho, hawapo sahihi kabisa.
Napingana nao kwa kusema...DPP ndio mwenye uamuzi wa mwisho na ndiye aliyeibeba hatma ya mtu.
Na katika ofisi au kazi inayoingiza pesa nyingi yaani nje ya mshahara ni ofisi ya DPP...wale watu wanaingiza pesa nyingi mno.
Yaani sijui kwanini DPP asiwe bilionea miongoni mwa bilionea...
Maana rushwa zote zinadondokea kwake.