Ofisi ya David Cameron yakataa tuhuma za kushawishi ushoga

Tunayaona matokeo ya baba anayehemea ....sasa wa Rona kila siku anawafuata fuata na ziada zake wameona wamuombe..mzigo .....anajifanya kuruka....shnzi ...unataka vya bure?

Membe naye ache kutafuta pa kutokea kujifanya kumsifia Jk kwa kukataa kuguswa.......sasa allegemea akubali?....utamsifiaje mtu kwa kukataa kitu ambacho ni obvious.....hata baadhi ya machoko...huwa Hawakubali...kuwa ni machoko...!
 
Mtoto wa kiume kaponzwa na bia "kashika ukuta" Mbona haya ni mambo ya kawaida kabisa. Kama unapenda kusaidiwa saidiwa, jiandae na kupakatwa pia.Wameona kila siku mtu kuomba omba hachoki, sasa unapewa masharti unarusha ngumi! Jitegemee acha omba omba, vya watu vichungu utavishwa khanga!
Kama hii film inaonekana vile!!!!!!!!!!!!!!!!! Kwa wale omba omba watakoma. Lazima tumbane Cameron atuambie bakuli la mwisho lilipita lini wakati vijana wake wakivunja vunja mabenki wakitaka pesa zao.
 
OMG sitaki kuamini kuwa Mh. Membe ametoa msimamo wa serikali kwani kila alifanyalo mwingereza basi na mmarekani naye anajibu lifanyike hivyo hivyo hata kama ovu. Rais wa nchi alikwisha kutuambia kuwa bila bakuli la omba omba watz tutakufa na njaa na hawezi kutuacha tufe kwa njaa sasa imagine tumejifanya vidume tukakataa kuwatambua mabwabwa tulionao na ndoa zao then uingereza na marekani wakagoma kufadhili bajeti yetu hapo sijui mkuu atatumia mbinu gani aweze kuwashawishi maana hali inazidi kuwa tete kwa mtazamo wa haraka haraka.

Nani wa kulaumiwa miaka 50 bado nchi ni masikini wa kutupa na tuna utajiri wa kila aina ya raslimali kwa nchi yetu na dereva wetu (rais) hajui ni nini chanzo cha umasikini wetu welawela jamani.
 
haya ndiyo madhara ya kuongozwa na wanawake, baada ya kuongozwa na malikia kwa mda mrefu nao wameambukizwa na mambo ya kikeni, tuwe vidume kama Mugabe Davi kapagawa labda ndio nchezo wao, kabla ya hapo tungemuuliza mke wake Davi Cam kuwa mke wake unayapenda? Samahani Makabira ya Kanda ya Ziwa mchezo huu ukifanya tunakumaliza kabisa lakini pwani ndio hao wanauendekeza labda kwa kukuwa baba yake na David alikuwa TZ haliyaona na akataka kukumbushia aangalie kama bado waitajiwako wengi kiasi gani , kwako TGNP toa maeleze maana haya mambo ya usawa ndio mmeyaleta hapa TZ wakati sie hatuyataki basi bora ije sharia tukomeshe na hawa wavaa uch.... yaani nusu mlingoti
 
Ulilo liongea ni lakweli pia mimi nashawishika sana kumsikia Rais akitamka kuwa ushoga atuutaki wketu. kwanini nasema hivi waletunaowapa habari hisi wanatakiwa kujua kuwa hatutaki ujinga katika hili kwani sisi sio mabwabwa, ni tusi kubwa sana.
Rais wetu unatakiwa kujua kuwa wewe ndio baba mwenye nyumba unatakiwa kutoa tamko kama baba. kwani hata ukiwa nyumbani kwako watu wakija kisha tamko likatolewa na mtoto wako wengi watakuwa na maswali na kutaka kujua wewe baba unasema nini tunataka vitendo.

pia wakati umefika kuweka tofauti zetu za kisiasa pembeni tupambane kupigania nchi yetu, waiteni CUF, CHADEMA, NCCR NA VYAMA VINGINE TUJENGE NCHI YETU HAWA NDIO WAMEANZA MWISHI WOTE TUTATAKIWA KUTOA TIGO WAKATI TUNA RASILIMALI NYINGI KWETU WANAZIFUJA WAO KISHA WANATUTAKA MIGONGO HII HAPANA SIKUBALI KAKA.
kwenye nyekundu hapo, Hao jamaa ndiyo wafadhili wakuu wao, maandamano, migomo na mengine pesa zake zinatoka huko. Wangeshasema , lakini mpaka sasa kimyaaaaaaaaaa. Y?
 
Hayati mwl. Alisema, ......mwelevu anakuja anakumbia suruali hatu vai chini, nawe unakubali unaivua na kuivaa kichwani.....wakati ule inawezekana hatumuelewa, sasa nadhani tutajua nini maana yake
 
Kwa nini Gavana wa State ya New Jersey huko ambaye anatoka kwenye chama cha Democratic inachotetea ushoga alijiuzuru ugavana kwa kashfa ya kufanya ushoga na mjuwishi (myahudi) huko alikokuwa meya kabla ya ugavana sehemu iitwayo bridge water kama sijachanganya basi ni water bridge? Kwao yamewashinda hadi kushinikizana kujiuzuru sababu ya ushoga, iweje wapandikize mbegu ya ushoga na kutushinikiza tuingie vichwa vichwa kuutetea na kuulinda?

Sikubaliani na huu utumwa mambo leo wa hawa waingereza. Mbona wenyewe hawana utawala mzuri wa kidemokrasi kwa kuendekeza mfumo wa kifalme? Tungefanya hivyo waafrika kuendekeza ufalme kama uingereza ifanyavyo wangetupia makombora mansion ya kufalme na kufuta kabisa kwa kutetea demokrasi, lakini yamewashinda hao wanaendekeza kwetu.

Kwa mtazamo wangu hata hii jumuia ya Madola ni mbinu ya Uingereza kuendeleza ukoloni mambo leo. Wanasingizia kutupatia mikopo ya pesa za bajeti serikalini kwa lugha laini iliyozoeleka mikopo kumbe ni mbinu ya mikopo yenye riba. Msaada gani ambao tunatakiwa kurudisha pesa yote pamoja na riba? Huu ni unyonyaji wa wazi wazi na tunavyozidi kuhemekea kina tunachochuma tunawachumia wakoloni waliotutawala. Baada ya wenyewe kushika usukani wa kuongoza nchi wakabuni njia nyingine ya kulinda makoloni yao ili kuendeleza unyonyaji kwa udanganyifu wa kutoa misaada kumbe ni njia za serikali zao kuwekeza pesa kwenye nchi maskini na kuchuma riba kubwa.
 
Huyu Cameroon alitegea kwenye huo mkutano , alipoona kuwa Rais Mugabe hayupo ndipo alipomwaga huo upupu wakewa kishoga kwa hao majuha yaliyokuwepo ;kwani Bob Mugabe angelikuwepo yule kijana angeipata fresh papo kwa papo! !Msimamo wake juu ya mambo ya kishenzishenzi kama haya wazungu wanaujua.
 
Back
Top Bottom