Ofisi ya campaign ya Obama yashambuliwa

Ofisi ya campaign ya Obama yashambuliwa

Eyoma

Senior Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
166
Reaction score
41
wandugu nimeamuka nakutana na beaking news skynews kwamba ofis ya campaign za obama zashambuliwa na risasikupitia dirishani,wenye habari zaidi tujuzeni,je kwa kuwa obama anakimbiza sasa wanataka kumfutilia mbali mnyamwezi au ni gani?
 
Mmh?! Mwanza risasi! Na Marekani tena risasi?! Tiririka mkuu?
 
Obama hawezi kutawala kipindi cha pili kwakua tu ana asili ya Afrika,wazungu wenye ubaguzi wa rangi iliwauma sana kuona mtu mweusi anakua Rais wa Marekani,walimvumilia wakiamini kwamba uchaguzi ukifanyika watampiga chini badala yake wamegundua jamaa anazidi kupeta,watamuua wakati wowote,hawafai kabisa.
 
wabaguzi hao tu
DENVER (AP) — Denver police say someone has
fired a shot through the window of President
Barack Obama's Denver campaign office. Police spokeswoman Raquel Lopez says people
were inside the office when the shooting happened
Friday afternoon, but no one was injured. A large
panel of glass was left shattered at the office on
West Ninth Avenue near Acoma Street. Lopez says investigators are looking at surveillance
video but have not yet confirmed a description of a
vehicle that might be linked to the shooting. Police
didn't immediately release other details while
detectives pursue leads.
m.yahoo.com/w/legobpengine/news/shot-fired-obama-campaign-office-denver-013128940.html?orig_host_hdr=news.yahoo.com&.intl=US&.lang=en-US
 
Obama hawezi kutawala kipindi cha pili kwakua tu ana asili ya Afrika,wazungu wenye ubaguzi wa rangi iliwauma sana kuona mtu mweusi anakua Rais wa Marekani,walimvumilia wakiamini kwamba uchaguzi ukifanyika watampiga chini badala yake wamegundua jamaa anazidi kupeta,watamuua wakati wowote,hawafai kabisa.

Mkuu, hawawezi kumuua Na atatawala tena kipindi cha pili ingawa kwa ushindi mdogo
 
Back
Top Bottom