Ofisi ya bunge yapokea rasmi Nyumba mpya ya Spika

Hata akilala kwenye nyumba hiyo akalipwa na posho. nani wa kuhoji?Hata DSM kuna ofisi zake ataamua akae wapi,ulinzi upo ana tabu gani,hata akimuacha house girl peke yake.Bunge likianza anakuja Dom,bongo mambo yote akafanye nn Dom?
 
Cjui kama ataitumia maana kuna nyumba zilijengwa hapo njia kwa ajili ya mawaziri hazikutumika kwa lengo
 
R.i.p Anselim L Mrema walikuwahisha mapema hawa kunguru hapa napata mashaka na boss wako JJ kwanza ilikuaje mkaenda kazini j2? Hutoweza kunijibu wakati sasa haupo nasi ila ndio siku mauti yalipokufika.
 
R.i.p Anselim L Mrema walikuwahisha mapema hawa kunguru hapa napata mashaka na boss wako JJ kwanza ilikuaje mkaenda kazini j2? Hutoweza kunijibu wakati sasa haupo nasi ila ndio siku mauti yalipokufika.

inahusiana na hii kitu mkuu.... au ni weekend!???
 
Ilivyo ya gharama mie nilijua INA na chombo maalumu cha kuonana na kuongea na mwenye mbingu kama ukihitaji,loh!
 
Jengo moja kwa miaka 6? ... Mbona hatuoni thamani ya 1.5 B?.... Hilo Box haizidi 300M ...
 
Huna haja ya kusikitika maana serekali wanavyofuja hela utakuta hizo 1.5 bl ndio makinda alikuwa akilipiwa kulala hotel kwa mwaka huko dom
Kuna mengi hatuyajui
 
Tukishika dola mwezi October - haya ndiyo majengo ya kuanza kupigwa mnada!! yaani mtumishi wa umma kutoka nchi maskini kuishi kwenye nyumba ya 1.5b wakati maisha ya wananchi wake yapo hoi bin taabani - hatuwezi.
 
Back
Top Bottom