Ofisi ya bunge yapokea rasmi Nyumba mpya ya Spika

Ofisi ya bunge yapokea rasmi Nyumba mpya ya Spika

ni njia mojawapo ya kuiba pesa ya kwanza aliuziwa pius msekwa alipokuja sitta akajenga jimboni mwake huu ni uhuni wanaofanya wabunge
 
Sio tu nchi maskini ni nchi ya wajinga walio wengi + maskini wa kufikiri hv tangia 1961 mpaka leo spika alikuwa nakaa wapi na hii nyumba ni kwa ajili ya akiwa kikao kwa vikao vingi vya kamati vinafanyika Dar na huko ajengewe nyumba tena kidumu chama cha magamba

Maswali mazuri sana ila sijui kama wajinga walio wengi watakuelewa!!! Teh teh teh
 
Nchi zingine kuna sehemu maalum ya kuzika viongozi.makaburi yao yanakuwa na hadhi.Sisi pia tunaweza hivyo na tukaweka majokofu ya kuwafanyia baridi.
 
Sio tu nchi maskini ni nchi ya wajinga walio wengi + maskini wa kufikiri hv tangia 1961 mpaka leo spika alikuwa nakaa wapi na hii nyumba ni kwa ajili ya akiwa kikao kwa vikao vingi vya kamati vinafanyika Dar na huko ajengewe nyumba tena kidumu chama cha magamba

Maswali mazuri sana ila sijui kama wajinga walio wengi watakuelewa!!! Teh teh teh
Mara nyingi miradi hii ni ULAJI mkubwa. Wizi mtupu!
 
Hivi ile ofisi ya urambo inatumiwa na nani?

Mkuu hakuna ofisi ya spika iliyojengwa Urambo. Kilichojengwa Urambo ni jengo moja muundo wa madarasa yaliyoshikana ingawa vyumba vyake sio vikubwa kama madarasa. Katika series ya ofisi hizo ipo Ofisi ya Mbunge, Ofisi ya Katibu Tarafa, Ofisi ya Uhamiaji Wilaya na Ofisi ya Afya kama sikosei. Ofisi hizo zipo jirani na Benki ya NMB.

Kumbuka ujenzi wa nyumba hiyo ya Dodoma umeanza mwaka 2009 enzi za Spika Sitta. Watu tuliposikia kuwa kuna nyumba ya Spika inajengwa somewhere basi tuka conclude kuwa ni Urambo. Kumbe ni Dodoma hapo hapo. At least tumuombe radhi Mzee huyu japo kwa hilo.
 
Ukijenga nyumba ya vioo vioo namna hii mitaa yetu, yaani utakuwa unaibiwa kila siku. Mwizi hahangaiki na mlango wako. Kila upande akigonga tu mnae ndani! Hahahaaaaa, bora ramani kama hizi zikaage huko huko uzunguni.
 
Tukishika dola mwezi October - haya ndiyo majengo ya kuanza kupigwa mnada!! yaani mtumishi wa umma kutoka nchi maskini kuishi kwenye nyumba ya 1.5b wakati maisha ya wananchi wake yapo hoi bin taabani - hatuwezi.

Halafu ukiambiwa gharama za ku-maintain hiyo nyumba kwa mwezi utashangaa!!
 
OFISI YA BUNGE YAPOKEA RASMI NYUMBA MPYA YA SPIKA MJINI DODOMA LEO

2+(1).JPG

Muonekano wa nyumba hiyo kwa mbele. Jengo hili ambalo litakuwa makazi ya Spika yeyote atakayeliongoza Bunge la Tanzania lilianza kujengwa Disemba 2009 na limegharimu takriban sh. 1.5 bilioni. Hapakuwahi kuwa na nyumba rasmi ya Spika wa Bunge Dodoma.
7+(1).JPG

Mlango wa mbele wa jengo.
8+(1).JPG

Ngazi ndani ya jengo ambalo lina vyumba vinne vya kulala, sehemu ya mapumziko, sehemu ya chakula, maktaba na jiko.
9+(1).JPG

Upande wa nyuma wa jengo.

Chanzo:Michuzi

http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/36778-waziri-aokoa-uhai-wa-mjamzito

soft copy MwanaDiwani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom