cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Uwezi hama labda uhamishwe na managerHicho tu ndo kinakufanya utake kuama ofisi?
We kinachokushinda na wewe kununua vitu vyako ukala ni nini?Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Kwani ofisi ni yako? Hapo upo kwa muda bro! Usijenge kibanda, fanya kazi, pata pesa, nenda nyumbani kajenge cha kwako,Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Brain error!! 🥱🥱🥱Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Wewe ukiwa unakula Huwa unamkaribisha?Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,
Ata bites anakula mwenyewe Hadi anamaliza actually sijawahi ifurahia ofisi yeye ni mkubwa mimi kama mdogo ake tumepishana kama 5 years,Kuna mda akininua kitu natamani kama hatoke mule ofisini akale huko amalize ndipo harudi ofisini lakini haiwezekani!!!
Sema chochote broAisee
Kwani wewe huna chako?Deeply sijawahi furahia ofisi nilopangiwa tangu nimeanza kazi ofisini tuko wawili tu,lakini dah Yani nilienae ofisini akibeba msosi anakula peke ake Wala karibu Hamna,