ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
wakuu
imeripotiwa, baada ya kunyang'anywa ofis za chama na Mnyang'anyi Profesa Lipumba kule Buguruni
Maalim seif katibu mkuu wa chama, ameamua kuanzisha ofisi mpya
ofisi mpya hii ya CUF inayopatikana Magomeni iwe ni funzo na chachu ya mabadiliko kwa wanachadema wenye ofisi mtaa wa ufipa isiyoendana na hadhi ya chama kikuu cha upinzani hapa nchini
Maalim kadhihirishia umma na kathubutu katika kuhakikisha anapata ofisi yenye hadhi yake
kuanzia majengo, eneo mpaka samani zote ni hadhi ya kuwa ofisi ya watu wanaotaka kushika madaraka ya nchi!
Hivi chadema pale ufipa mmewekewa kitu gani hadi mshindwe kufikiria ofisi mbali na hapo?
Au ndio mnasubiri Dr Slaa nae aje kuwavamia ka Lipumba ndio akili iwajie mkimbie? kamwe hili halitatokea, jiangalieni upya mtafute ofisi yenye hadhi yenu