Ofisi mpya za CUF iwe fundisho kwa CHADEMA mtaa wa ufipa

...Badala ya kujikita kwenye hoja nzito kama namna ya kubadili mikataba ya madini ili nasi tufaidike na matofali ya dhahabu yetu badala ya kuambulia asilimia 4 tunahangaikia hoja nyepesi.
Kubadili mikataba?
Wewe ni bunge au? Hoja nyepesi kuwa na kile kibanda ufipa kama office? Hivi wakialikwa Conservative wa UK kuja kutembelea chadema hata aibu hamuoni kuwapeleka pale?
 
Hawa Jamaa wa ufipa kwa hakika wanahitaji ofisi yenye hadhi.. Wanatia aibu

Chama sio hadhi ya ofisi bali ni hoja wanazotoa bungeni. Na kwa hoja Chadema wakojuu sana maana hata CCM wamekopi hoja zao na Chadema wamewndelea kupata wabunge wengi. CCM wanahofi za hadhi lakini wabunge wao ndio wanaongoza kulala bungeni na kusema ndio bungeni
 
Hii akili ya wanalumumba ya kula rambi rambi, sasa hiv imehamia kwenye ofisi.
Chadema hata km ofisi zake zipo chini ya mwembe au kweny pango siwezi kuhama sbb ni watetezi wa haki.
Pumba...fu sana ccm mna ofisi nzuri lkn mnakula rambi rambi za marehemu
mnafuta ajira za watanzania wanyonge
mefuta fao la kujitoa
helsb 15%
ccm ni kichaka cha majizi tu. Kwan ukiwa na ofisi nzuri ndiyo kufanya kazi?
Mbona ccm inaofisi nzuri lkn inatafuna rambi rambi za watu waliokufa
 
wakuu
imeripotiwa, baada ya kunyang'anywa ofis za chama na Mnyang'anyi Profesa Lipumba kule Buguruni

Maalim seif katibu mkuu wa chama, ameamua kuanzisha ofisi mpya

ofisi mpya hii ya CUF inayopatikana Magomeni iwe ni funzo na chachu ya mabadiliko kwa wanachadema wenye ofisi mtaa wa ufipa isiyoendana na hadhi ya chama kikuu cha upinzani hapa nchini

Maalim kadhihirishia umma na kathubutu katika kuhakikisha anapata ofisi yenye hadhi yake
kuanzia majengo, eneo mpaka samani zote ni hadhi ya kuwa ofisi ya watu wanaotaka kushika madaraka ya nchi!


Hivi chadema pale ufipa mmewekewa kitu gani hadi mshindwe kufikiria ofisi mbali na hapo?
Au ndio mnasubiri Dr Slaa nae aje kuwavamia ka Lipumba ndio akili iwajie mkimbie? kamwe hili halitatokea, jiangalieni upya mtafute ofisi yenye hadhi yenu
Ubongo wako umeganda
 
Naskia Lissu kaingia mkataba na Accasia apiganie makinikia kwa makubaliano ya kujengewa Ofisi posta
cbef0d78ba5b8bd108d1638be1a966e2.jpg
 
too bad, kama tumefika mahali tunapa wapinzani wa kweli wanapfaa kuchukua nchi kwa kutumia majengo na fanicha. Yote anayoyapigania Mh Raisi sasa hv yalishasemewa sana na watu wa upinzani wa ukweli, mpaka ilifika mahali ikabidi watoke nje ya bunge kupinga miswada mibovu juu ya rasilimali zetu. Mh rais akiwa waziri muda huo, alibaki bungeni na aliunga mkono hoja,,, as usual.
Anyway, just because some of us are stupid, it doesn't mean we cannot know the names of colours.
Hao ndiyo ccm
 
Kinachotakiwa ni kutoa huduma mzuri kwa watanzania siyo kuwa na jengo zuri,mbona ccm mna majengo mzuri lkn huduma kwa watanzania ni 0?
Huduma nzuri inaendana na mazingira pia acheni kujitoa akili, unaweza kufunga CT-Scan kwenye nyumba ya udongo?

Halafu maisha yako usije ukasema mimi ni mwana ccm ni bora unifananishe hata na shetani ila sio mwanachama wa ccm
 
Back
Top Bottom