Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,780
- 167,874
- Thread starter
-
- #21
Hapo ukumbi wa Mkapa nimesoma shule ya awali, barabara zikiwa lami. CCM ilichofanya ni kusiliba ka leya ka lami juu ya lami ya mkoloni. Kote kule Majengo, Ghana na Mbata kulikuwa na lami, Hadi ukienda Sasa utakuta Kuna barabara nyingi tu zina mabaki ya lami ya mkoloniUnaonesha unaijua Mbeya vizuri, ila kuhusu barabara umepotosha sababu hizo barabara zimejengwa na serikali hadi maeneo yote ya Ukumbi wa Mkutano wa Mkapa
Mbeya sio watu wa kuburuzwa. Tunduma, Magufuli kasema asipooewa kura hapeleki maji. Wana Tunduma wakamjibu wamezoea maji ya visima na kura hawampi yeye wala Silinde.Inawezekana ikawa ukweli sababu watu wa Mbeya kiasili ni ujasiri, misimamo, hawapendi ubabaishaji na hata elimu wanayo kubwa sana, hivyo walikua sahihi kipindi hicho.
Ila sio kwa upinzani wa sasa uliojaa uhuni tu na ujanja ujanja.
Nimefika hayo maeneo yote ila sijaishi, hivyo sifahamu vizuri historia ya maeneo yale,Hapo ukumbi wa Mkapa nimesoma shule ya awali, barabara zikiwa lami. CCM ilichofanya ni kusiliba ka leya ka lami juu ya lami ya mkoloni. Kote kule Majengo, Ghana na Mbata kulikuwa na lami, Hadi ukienda Sasa utakuta Kuna barabara nyingi tu zina mabaki ya lami ya mkoloni
Ni wananchi ndio waliozitunzaNimefika hayo maeneo yote ila sijaishi, hivyo sifahamu vizuri historia ya maeneo yale,
ila kwa uzuri wa zile barabara hata kama zilijengwa na mkoloni basi serikali imetumia gharama kubwa kuziboresha.
Kumbuka uhuru tumepata miaka zaidi ya hamsini iliyopita na hata baadhi ya lami za mkoloni zilizopo porini nyingi zimegeuka udongo.
Serikali haiwezi kufanya mambo yote kwa wakati mmoja na hakuna nchi yeyote hapa Afrika Mashariki yenye huduma bora za Kijamii zilizokamilika asilimia mia.Mbeya sio watu wa kuburuzwa. Tunduma, Magufuli kasema asipooewa kura hapeleki maji. Wana Tunduma wakamjibu wamezoea maji ya visima na kura hawampi yeye wala Silinde.
Upinzani Mbeya ndio mpango mzima.
Jana nilikuwa Msanga Zalala wilaya ya Kisarawe, hamna maji, barabara Ni mbovu Sana, hamna umeme.
Wanaishi kwenye mateso makubwa, Ni Jimbo la Suleiman Jaffo.
Wao kosa lao Ni Nini? Maana tangu uhuru hawajawi kuchagua upinzani.
CCM mnaghiribu watu kuwa wasipoipa kura CCM mtawatesa kwa kuwanyima maendeleo.
Kodi zao mnachukua, maendeleo hamuwapi hiyo ni dhulumati Kama mlivyo dhulumu michango kwa ajili ya wahanga wa tetemeko Kagera
Mbona mnajinasibu kutatua shida ya maji vijijini kwa asilimia 95?Serikali haiwezi kufanya mambo yote kwa wakati mmoja na hakuna nchi yeyote hapa Afrika Mashariki yenye huduma bora za Kijamii zilizokamilika asilimia mia.
Unafahamu shida ya maji iliyokuwepo dar es salaam hasa maeneo ya Kimara, Mbezi Mwisho , tabata n.k
Kama wananchi walizitunza ni jambo jema, ila serikali lazima ipongezwe kwa kuendelea kuziboresha.Ni wananchi ndio waliozitunza
Kuhusu maji tumejitahidi sana.Mbona mnajinasibu kutatua shida ya maji vijijini kwa asilimia 95?
Si mseme tu kuwa maji tumetatua kwa watu wa Kimara na Tabata tuwaeoewe?
Gongo la Mboto hamna maji, miaka 60 ya uhuru bado maji ni kero kwenye miji mikuu
Ule ni mji wa kabla ya uhuru. CCM ndio imeivuruga Mbeya. Ujenzi holela Ni matokeo ya CCM kushindwa kuplan mijiKama wananchi walizitunza ni jambo jema, ila serikali lazima ipongezwe kwa kuendelea kuziboresha.
Yale maeneo yanapendeza sana yalivyopangiliwa sema tu nyumba zake ni zile zilizojengwa miaka mingi ila inaonesha kipindi hicho ndio zilikua nyumba za kisasa.
Ni kweli ule mji ni kabla ya uhuru,Ule ni mji wa kabla ya uhuru. CCM ndio imeivuruga Mbeya. Ujenzi holela Ni matokeo ya CCM kushindwa kuplan miji
Vipi maeneo ya Isanga, Nonde, Mabatini, Simike, Nzovwe, Ikuti, Iyunga, Iyela, Mwanjelwa, Ilolo, Kalobe, Mbalizi, etc mji unazidi kutanuka na serikali ya CCM haifikirii kufanya planning. Only 27% wanaishi kwenye surveyed area.Ni kweli ule mji ni kabla ya uhuru,
Lakini pia zipo sehemu zingine pale Mbeya ni nzuri na serikali ndio ili plan na inatakiwa tuipongeze serikali.
Maeneo kama Forest Mpya, Forest ya Zamani, Block T, Block Q (soweto), Sai, mji mpya Iwambi, Maeneo ya Veta n.k
Hayo maeneo yote ni ya kisasa sana pale Mbeya na sasa serikali inapitisha lami kwote huko.
Hivyo tuipongeze serikali ndugu
Wewe unaijua Mbeya vizuri sana,Vipi maeneo ya Isanga, Nonde, Mabatini, Simike, Nzovwe, Ikuti, Iyunga, Iyela, Mwanjelwa, Ilolo, Kalobe, Mbalizi, etc mji unazidi kutanuka na serikali ya CCM haifikirii kufanya planning. Only 27% wanaishi kwenye surveyed area.
Naskia toka mbeya town ichukuliwe na sugu hakuna maendeleo kabisa, eti wananchi wanasema mbeya nchi sugu raisiHizo taarifa umezitoa wapi?
majimbo mengi Mbeya ni CCM kuanzia Kyela, Rungwe yote mashariki na Magharibi, Mbarali, Chunya n.k
Juzi hapa ndio Sugu kachukua kwa Mpesya Mbeya mjini
Naona unaainisha maendeleo aliyofanya suguWewe unaijua Mbeya vizuri sana,
Hayo maeneo yote uliyotaja ni ya kibabe sana na yanapendeza kubaki vile yalivyo sababu yamezalisha watu wagumu wa pale Mbeya,
Ila serikali sasa inawaboreshea huduma za Kijamii kama maji, hospital, shule na miundombinu ya barabara.
Ila tayari barabara ya lami kutoka kabwe hadi Isanga ilishajengwa mda mrefu sana,
Pia barabara ya kiwango cha lami kutoka Mwanjelwa, Ilemi hadi Isanga pia ilishajengwa mda mrefu sana.
Pia kuna barabara ya kisasa inyotokea pale uwanja wa kumbukumbu ya sokoine karibu na Rift valley Hotel, barabara ile inapitia Isanga hadi Chunya pia imefanya yale maeneo kupendeza zaidi na kuwasaidia watu wa Wilaya ya Chunya kutumia mda mfupi hadi kufika Mbeya mjini.
Ila Ilolo Kule ni utata sababu ni kama mkondo wa maji lile eneo, hata mvua za Elnino zilisababisha maafa makubwa sana katika maeneo yale ya Ilolo.
Kuhusu Iyunga, Mabatini, Simike n.k
Ni kwamba miji mingi mikubwa haikosi maeneo kama yale.
Mfano miji kama Nairobi, Kampala, Lagos Lilongwe, Dar es salaam, Durban, Mumbai, New Delhi n.k maeneo kama yale yapo pia, hiyo yote inasababishwa na kuongezeka kwa kasi idadi ya watu na serikali kutojipanga mapema na ongezeko la watu
Sasa ndio maana tunakata utawala wa majimbo, hela yetu wenyewe itusaidie wenyewe sii hela yetu bhana? Iweje hela itolewe Mbeya ikajenge Chato?Naskia toka mbeya town ichukuliwe na sugu hakuna maendeleo kabisa, eti wananchi wanasema mbeya nchi sugu raisi
Mkuu usione ccm wameweza ukadhani ni rahisi kiivyo, ccm wamepora mali nyingi za umma ukianza na viwanja, pia angalia kwenye kampeni magari ya serikali yanavyotumika na chamaTo be honest chadema kuweni serious na jengeni makao makuu yanayoendana na hadhi yenu
Sugu hana pesa ya kujenga hata kilomita mbili za barabara.Naona unaainisha maendeleo aliyofanya sugu
Hebu inyongeni CCM huko mliko, tayari Kigoma tumesha ifuta kabisaLimekaa kama banda la kitimoto