Ofisi inatafuta partner mwenye resource

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Hi wana jf.
Ofisi inafanya kazi,uwezo wa kuingiza pesa inao,inatakiwa kuhamishwa na kufanyiwa marekebisho zaidi.
Timu ni ndogo (watu 2 tu) kulinganisha na uwezo wa ofisi.
Tunahitaji mtu mmoja mwenye mtaji usiopungua milion moja awe mmiliki wa 3.
Iko dar,magomeni mwembechai.
Kazi ni nyingi watu wachache.
Aliyekuwa tayari:
sIFA:
1.Awe na elements za ujasiliamali.
2.Mbunifu na mweny kijituma
3.Awe mtanzania mkoa wowote
4.Umri from 25 to 45.
5.Awe na mtaji usopungua milion moja.
Aliyekuwa tayari awasilane na mkurugenzi kwa namba:
+255713-810857.
Maombi ya kila mtu yanapokelewa wote mnakaribishwa.
 
mnafanya shughuli gani!
isijekuwa mko wawili mwahitaji fedha na mawazo.
kama vipi taja hizo majob mazee!!!
 
Wajasiriamali wenzangu,
Mbona hamuelezi ni biashara gani mnayofanya?
Mimi nina maduka kadhaa hapa changombe -Temeke na ningeweza kuelewana nanyi mkahamia kwa muda kwangu mpaka matengenezo mnayosema yaishe
Lakini hamjasema ni biashara gani
Kam mnaona mnanihitaji nipigieni simu
0713 -689665 mniambie hiyo biashara gani:israel:
 
mnafanya shughuli gani!
isijekuwa mko wawili mwahitaji fedha na mawazo.
kama vipi taja hizo majob mazee!!!

cha msingi ni wewe kuwa tayari uje uione usome proposal zetu the next
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom