Ofisi inapangishwa Kijitonyama, karibu na Wanyama hotel bei nzuri sana

MAISAKI

Member
Apr 10, 2012
8
4
Moja ya changamoto kubwa sana ya kampuni changa (zenye chini ya miaka mi5) ni SEHEMU YA KUPANGA. Ni muhimu sana biashara iwe na ofisi inayotambulika ili wateja waweze kufika, kukuamini na hata mfanyabiashara uwe na nidhamu lakini kuna mambo 6 yanayokwamisha hili na matokeo yake biashara nyingi hufunga au watu huamua kutoa huduma mtandaoni/nyumbani.

1. KODI KUBWA SANA; kodi inazidi 30% ya mapato ya kampuni yako
2. MALIPO KWA AWAMU NDEFU; wenye jengo kutaka ulipie miezi 6 au mwaka wakati ndio kwanza umefungua kampuni
3. GHARAMA KUBWA ZA SAMANI & VIFAA: inabidi ununue samani za ofisi, vifaa vya kazi kama notebook, router, laptop, kalamu, dispenser nk.
4. MBALI NA HUDUMA ZA KIJAMII; sehemu ya kula, huduma za fedha benki na fedha simu, secretarial & stationary, duka la vitu vidogo, parking, barabara kuu, vituo vya boda boda/bajaji/basi
5. JENGO KUCHAKAA NA KUHUTAJI UKARABATI MKUBWA SANA; hii ni gharama ya mwenye jengo ila wengi wakishapokea kodi wanakausha hivyo mzigo unabaki kwa mpangaji
6. UMBALI NA OFISI ZINGINE ZINAZOTOA HUDUMA; Hii inasababisha wengi kupata msongo wa mawazo pale biashara inapoyumba, kukaa karibu na watu wanaopitia mambo sambamba na wewe inatia moyo, pia inaboresha ushirikiano wa kazi & kutafuta wateja

TUMEKUJA NA SULUHISHO;

Ofisi inapangishwa Kijitonyama Wanyama Hotel.

ipo kwenye lami
parking 20 (ndani 10, nje 10)
umeme wa LUKU & Generator ipo
mlinzi masaa 24 yupo
huduma za kijamii (fedha, supermarket, kituo cha usafiri nk. vipo karibu)
bango la majina ya ofisi zitakazokuwepo linawekwa
luku yako
sehemu ya mikutano midogo ipo, chumba cha training kipo, uwanja wa shughuli za kiofisi upo
mgahawa wa chakula upo ndani
sehemu ya kahawa (cofee corner) ipo ndani
secretarial & printing services ipo ndani
maji ya kisima & dawasco
mandhari nzuri ya nje (garden) & ndani ya geti
sakafu tiles, dari gypsum, madirisha mbao, milango mbao ngum, paving block

Vyumba 7; vitano(4) ni master kila kimoja 350,000 bila fanicha, viwili(2) vya kawaida kila kimoja 250,000 bila fanicha. Bei inaongeleka. Pamoja na fanicha & wi-fi bure ni 450,000 malipo miezi mi3, bei haipungui.
Chumba cha saba ni sebule ambayo tunaikodi kwa siku

piga simu au msg 0712850715 au whatsapp Partager sur WhatsApp muda wowote ule ili uweze kuona.
*HAKUNA GHARAMA ZA KUONA WALA KAMISHENI KWA DALALI UKIPITIA NAMBA HII, FIKA UONE ULIPIE CHUMBA SEHEMU YA KISHUA SANA*

Dalali ukileta mteja kamisheni tunatoa
20200114_145250.jpeg
20200114_145255.jpeg
20200114_145305.jpeg
20200114_144940.jpeg
20200114_144949.jpeg
20200114_144711.jpeg
20200114_144823.jpeg
20200114_144657.jpeg
20200114_144530.jpeg
20200117_094808.jpeg
20200117_094805.jpeg
20200114_144602.jpeg
20200114_144904.jpeg
20200114_144538.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom