Ofisa wa Serikali Kiteto anusurika kifo

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Mtumishi na wakala wa misitu Tanzania TFS Bonaventure Mosha (54) amenusurika kifo baada ya kushambuliwa na wananchi wa Kijiji cha Njoge Wilaya ya Kongwa kwa madai ya kuwazuia wasifanye shughuli za kilimo na ufugaji kwenye hifadhi ya mlima Njoge.
 
Cku hizi raia wanahasira aisee!! Maana naona hii michezo ya kujichukulia sheria mkononi inashamiri
 
Back
Top Bottom