Zipo moroko,kama unatokea magomeni shuka Moroko,kama unatokea mwenge shoka kituo cha airtel,pale Bonjour petro station wanapouza bugger,vuka barabara na pita barabara inayoenda shoper plaza mbele kidogo kulia utaona jengo la infinity
mkuu inategemea wewe unaishi wapi ila ofisi ipo new bagamoyo road upande ambao unakuwa kama unaelekea mwenge karibu na kituo cha moroko inatazamana na kanisa la kristo(church of christ) utaona bango kubwa kwa nje au uliza mtu yeyote hapo karibu atakuonesha ila nina imani utaona tu maana ofisi ipo karibu kabisa na barabara,kama utakuwa unatokea mwenge kwenda posta au kikoo then itabidi uvuke barabara then urudi hapo kwenye hyo ofisi.ukishindwa kabisa nenda pale sheli ya BONJOUR uliza utaelekezwa.kila la kheri mkuu kama kuna mchongo tuambiane.ha ha ha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.