Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,126
- 1,439
Kazi nzuri sana. Hongera sana Diamond Platinumz Dangote
umenena.Kwa level za diamond nyimbo ni ya kawaida sana, hata kokoro ni level za mbele.
Huu ni uchokozi jazz band kwa bibie
wachwa longolongo weka ukweliwabongo kwa majungu .....
Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, video ya Diamond Platnumz ya wimbo wake, Marry You aliomshirikisha Ne-Yo imetoka. Kwa mara ya kwanza video hii imewekwa kwenye channel ya Vevo ya staa huyo. Tizama Video hiyo kisha uniambie Umelionaje Bomba(Ha ha haa).