EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,701
Fursa zinakujaga nikiwa mbaaaali 🥺Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.
Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
HeheheRasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.
Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Hongera mkuu.Sawa mkuu mi sikupingi ila nimefanya homework yangu kutafta mwanamke ambaye ninammudu.
Sisi waislam hutoa talaka wakristo nimesikia kuwa mpaka kifo kiwatenganishe. Sasa mke anaetoa talaka hii ni dini gani??😳Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu
Labda itakuwa ya kwa mkuu wa wilaya.Sisi waislam hutoa talaka wakristo nisikia kuwa mpaka kifo kiwatenganishe. Sasa mke anaetoa talaka hii ni dini gani??😳
Asante kwa kunifahamisha.Hii itakuwa ya kwa mkuu wa wilaya.
Nimeowa huu mwaka wa kumi huwezi nifundisha kitu kuhusu mwanamke,unaachana na mke unakimbilia bar kulewa?you must be kidding!Hujui kwanini nasherehekea ukija kuoa utanielewa
Nitumie namba ya mtalaka wakoRasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.
Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe
Hadi Talaka imetoka ujue hilo jambo la watoto lishawekwa sawaNimeowa huu mwaka wa kumi huwezi nifundisha kitu kuhusu mwanamke,unaachana na mke unakimbilia bar kulewa?you must be kidding!
Mtu timamu angetaka kujua una lengo gani na watoto uliozaa na huyo mwanamke au hamkumzaa?au mlizaa umeona umwachie akahangaike nao ili wakiwa wakubwa useme nina watoto wakunitunza nikiwa mzee!!!
Nitumie tu Dm ndio utaona ulipokwamaNjoo Karinyos hapa uchukue
Oa Mwanangu ili uje utoe ushuhudaSasa nachanganyikiwa niingie au nibaki nje yaani basi tu ila kwa hili baridi wacha nitafute wa kuoa tu akizingua tunaachana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuangalie nini sasa? Sura au? Pia si hakuna me mwenye ke mmoja?Si ukiangalia Tako ...Umefanya uzinzi baada ya kumpa mimba umekimbilia ndoa ona sasa .
Pole sana kaka mkubwa.Huwa napata huruma sana pale ninapoona ndoa moja inavunjika. Labda kwa wengine ambao bado wako kwenye ndoa. Ndoa haijawahi kuwa mteremko.anayekwambia hivyo ni muongo au mmoja kwenye ndoa hiyo amekukubali kuwa mnyonge.Otherwise kwenye ndoa kuna kuchukuliana na kusameheana.kwa sababu wote ni wanadamu,tuna udhaifu mwingi.kuna kukoseana kwingi, ndiyo maana inahitaji kuvumiliana na kuelewana,kusameheana na kupendana. ujue unakutana na mtu ukubwani ambaye amezaliwa huko,akakulia huko, akalelewa huko .mnakuja kukutana mtaani mnaanzisha mahusiano.baada ya mwezi unatangaza ndoa ,vikao vinaanza,ndoa inafungwa.unafunga ndoa na mtu ambaye humjui vizuri.muda wa kumjua vizuri ukifika,unagundua umeoa kimeo.Rasmi wanajamvi nimekabidhiana Talaka na Mke wangu Hahahaha na furaha ya ajabu Vijana Msioe Ndoa ni us***ge.
Atakayetaka kujumuika nami kwenye furaha yangu Karinyos Kinondoni tule Gambe