Nmejarbu mara 2 kuupgrade bila mafanikio, mara ya kwanza ilifka 92% mara ikapotea mara ya 2 ilifika 80% ikakata wakat bando ni unlimited sasa nashindwa chakufanya na nimeanza kufikiri kujarbu kupakua kupitia piratebay...mnanishauri nifanye nn wajuzi?
Chief_mkwawa n@ wengine