Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,254
- 44,363
Yenyewe windows itachukua key toka kwenye biosUmesema kwa window 8 key zipo kwnye bios, hebu fafanua kdogo. Machine yangu ina window 8.1 na sms kwamba ntapata window 10 niliipata Chief_mkwawa
mm nilikuwa naidownload kwa kutumia hiyo link uliyotoa hapo juu hasa hiyo inayokutaka udownload image kwanza(link ya pili) sasa nimeiacha ucku kucha inadownload lakini cha ajabu ni kwamba nimeamka asubuhi nakukuta haipo, ila ile icon ya reservation ipo(mwanzoni haikuwepo) na inananiambia kuwa download in progress baada ya kufanya reservation sasa hapa cjui tatizo ni nini naomba msaada wenu ni kwamba imemaliza au ndo kuna tatizo hapo? Mwl.RCT Chief-Mkwawa
Ina bug gani?Windows 10 is a buggy, Microsoft wanatakiwa kuirefine hii product ASAP.
Windows 10 is a buggy, Microsoft wanatakiwa kuirefine hii product ASAP.
Sikufanya clean installation lakini nili-update! Baada ya kufanya hivyo, sauti imekata na nimetembelea community page ya Microsoft, nimekuta users wengi wamekumbwa na hili tatizo! Je, kuna mwingine yeyote humu jamvini ambae ame-experience hili tatizo?
NB: Sikufanya downloading kwa kutumia ISO File as posted by Mwl.RTC above bali nilitumia link ya Microsoft ambayo waliitoa almost mwezi mmoja uliopita.
Anyway, nimetumia neno link ambayo waliiotoa last month kujaribu kutofautisha na ISO file lakini ingawaje nili-reserve last month, ilipofika 29/07 niliingia kwenye fresh page ya Microsoft kwa ajili ya kupata new link. Ngoja nijaribu kwa hiyo solution uliyonipatiakaka link ya mwezi uliopita kuna uwezekano mkubwa ni windows 10 preview kwa ajili ya insiders na sio win 10 yenyewe.
kama sauti haifanyi kazi download driver zake, mara nyingi driver za win 8 zinakubali na win 10. kama hujui kudownload driver post full name ya mashine yako
Sikufanya clean installation lakini nili-update! Baada ya kufanya hivyo, sauti imekata na nimetembelea community page ya Microsoft, nimekuta users wengi wamekumbwa na hili tatizo! Je, kuna mwingine yeyote humu jamvini ambae ame-experience hili tatizo?
NB: Sikufanya downloading kwa kutumia ISO File as posted by Mwl.RCT above bali nilitumia link ya Microsoft ambayo waliitoa almost mwezi mmoja uliopita.
Na kwa faida kwa wengine ambao wanaweza kushindwa pa kuanzia hata baada ya kupewa maelekezo, this can be useful as well.kaka link ya mwezi uliopita kuna uwezekano mkubwa ni windows 10 preview kwa ajili ya insiders na sio win 10 yenyewe.
kama sauti haifanyi kazi download driver zake, mara nyingi driver za win 8 zinakubali na win 10. kama hujui kudownload driver post full name ya mashine yako
Watu wa vista hawajaqualify free upgrade hapo ni either ununue au uchakachueHivi ni kweli insiders wanapewa free ugrade ya win 10? Mimi ni mmojawapo wa ila nimejaribu kuipandisha preview kwenda Home basic jamaa wamenikazia kwenye keys. kwa sasa natumia Home Basic kutoka torrent ila sijaipenda ingawa iko pouwa.
Msaada kama kuna njia nieweze kufanya clean installation πc yangu ilikuja na w vista.
Free upgrade ya windows 10 ni kuanzia Windows 7,8 na 8.1 tu. Vista utalazimika kununuaHivi ni kweli insiders wanapewa free ugrade ya win 10? Mimi ni mmojawapo wa ila nimejaribu kuipandisha preview kwenda Home basic jamaa wamenikazia kwenye keys. kwa sasa natumia Home Basic kutoka torrent ila sijaipenda ingawa iko pouwa.
Msaada kama kuna njia nieweze kufanya clean installation πc yangu ilikuja na w vista.
Windows 10 is a buggy, Microsoft wanatakiwa kuirefine hii product ASAP.
Watu wa vista hawajaqualify free upgrade hapo ni either ununue au uchakachue