Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,293
- 1,463
Yupo nao wapi. Umeongea kama unawajua. Wataje wew basiKachapwa mijeledi,kapigwa bila huruma na kafumbwa macho siku3.... ni kina nani hao walio mfanya hivyo? Kwann asiwataje sasa.....na mbona yupo nao.