Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Wimbo mkali sana aisee yani nimesikiliza kwa mara ya kwanza hapo hapo nikadownload nikaweka Ringtone
HII IDEA NMEIPENDA...ILA MIBASATA INAWAZA FUNGIA TU KWA MANENO WAKATI WATU TUNASTREAM ONLINE...HIVI UNAWEZA FUNGULIWA KESI KWA KUSIKILIZA MWISMBO ILIYOFUNGIWA 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂Wanaweza ku Edit tu hiyo sehemu ya video ikawa in clean version. Sidhani wana haja ya kutoa yote.
HII IDEA NMEIPENDA...ILA MIBASATA INAWAZA FUNGIA TU KWA MANENO WAKATI WATU TUNASTREAM ONLINE...HIVI UNAWEZA FUNGULIWA KESI KWA KUSIKILIZA MWISMBO ILIYOFUNGIWA 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Ngoja kwanza waziri adaulodi awe nayeye anainyoi hom kabla hajakiwasha.Basata bado hajaiona tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona na mie nime mjibu pia, just read moreMbona Rebecca 83 kashaeleza kila kitu hapo juu.nothing more
Poa chiefMbona na mie nime mjibu pia, just read more
Unakinyongo uelewi nini sasa au ganjaSababu yako ya kusema ana taka aifikishe muziki mbali ni ipi?
Kilichonivutia ni kuwaimbisha kiswahili watoto wa marekani..akimuimbisha na busta atanikuna sana...ila mashairi na beat hamna kitu..bora sikomiDiamond forever