HahahaWanaweza ku Edit tu hiyo sehemu ya video ikawa in clean version. Sidhani wana haja ya kutoa yote.
Diamond kwa hapa bongo ana washabiki wengi kuanzia watoto mpaka watu wazima kabsaa. Angelifikiria hilo asiwanyime raha watu ambao wange weza kukaa sebuleni na kuucheki wimbo kupitia ITV au channel 10. Wimbo wa Adele unaonesha giza giza tuu ila ndio una viwers wengi kuliko hata nyimbo za wakaa uchi. Song ikiwa kali namna hii, mzungu hata aoneshwe watu wamepiga kanzi tuu ana ikubali.
Nadhani watu hawakumshauri vyema.
Hii logic hai add up! Mbona nyimbo za West nyingi tuu tena zina fanya vzuri watu wanatembea tuu!? Hebu mnijuze ule wimbo ungekosa nn kama ange u edit vzuri tu uka kaa sawa? Watu wa western washindwaje kupenda hiko kbao safi kabsa?hamuelewi,hio picha itwa attract wa west,sio nyie ambao tayari ni fans wake na mtalipa shilingi badala ya madolari.....cost ya kuwapoteza nyie mnaokaa na watoto wenu sebuleni sio sawa na benefits ya kupata madolari na kuongeza fan base yake
Hii logic hai add up! Mbona nyimbo za West nyingi tuu tena zina fanya vzuri watu wanatembea tuu!? Hebu mnijuze ule wimbo ungekosa nn kama ange u edit vzuri tu uka kaa sawa? Watu wa western washindwaje kupenda hiko kbao safi kabsa?
Sawa mimi ntasubir feedback tuu kama kweli ilimlipa hii idea.labda kwake break through into international markets ni kukaa uchi,hakuna kingine kibaya au kizuri cha kwenye huo wimbo kama sio huyo mdada aliyeko humo,.kila mtu ka notice lile tako 😎😎😎........unaambiwaga any publicity is good publicity...na sijafananisha na wimbo za west nimemaanisha kupanua soko lake kuongeza fans kwa wa west
Hahaha
Kuna dada huyo anautwa Juliana Shonza sjui kama una mfaham. Hapa lazma amle kichwa mtu.
Kama ali ifungia bongo bahat mbaya, hii itaanzaje kupona!
HahahahaHuyo nae, alini bore sana alivyomsema yule dada wa watu mbele ya media. So backward!
Daddy anakwambia "there is a room in every situation , stay strong daddy is comming"Hahahaha
Nikajua humfaham, nadhani Juliana ni mtu flani wa jukurupuka na anaingizaga personal beliefs kwenye uongozi jambo ambalo anakosea. Ila kwa hii ishu Chibu kaweka shingo mwenyewe, Juliana kazo yake itakuwa ni kunyonga tuu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Daddy anakwambia "there is a room in every situation , stay strong daddy is comming"
Nani wa kupinga kama daddy ndio mkaguzi wa video zote za wcb kabla hazijatoka? Na ukiona zimetoka ujue DB ame approve
Diamond analenga mziki wake ufike mbali!!Hahahah
Hamna man naongea ukweli, kipande kidogo tu kilikuwa si cha kuharib wimbo mzima mkali kias hiki ufingiwe.
Fact tupuhamuelewi,hio picha itwa attract wa west,sio nyie ambao tayari ni fans wake na mtalipa shilingi badala ya madolari.....cost ya kuwapoteza nyie mnaokaa na watoto wenu sebuleni sio sawa na benefits ya kupata madolari na kuongeza fan base yake
Hahahaha
Nikajua humfaham, nadhani Juliana ni mtu flani wa kukurupuka na anaingizaga personal beliefs kwenye uongozi jambo ambalo anakosea. Ila kwa hii ishu Chibu kaweka shingo mwenyewe, Juliana kazi yake itakuwa ni kunyonga tuu.
Sababu yako ya kusema ana taka aifikishe muziki mbali ni ipi?Diamond analenga mziki wake ufike mbali!!
Basata wanaweka figisufigisu wakati wameshachelewa.wanakumbuka shuka kumekucha..
Hata ikifungiwa itaendelea kupigwa majumbani mwetu, kwenye simu zetu na kila sehemu kasoro hizo tv station tu.so sion tatizo.
Mimi ni mshabiki wa Diamond ila mpenzi wa mziki wa Ally kiba (sijui kama umenielewa.mapenzi motomoto hata ali akifanya ngoma mbovu kwangu ni nzuri nitaisifia tu)
Hata kama mimi ni mshabiki wa yanga.ila siwez ishabikia tp mazembe ikicheza na simba..
Diamond ni mtumbuizaji mzuri na mara nyingi anawafichaga sana kwenye kucheza.Ila hapa kapata mtumbuizaji mwenzie wameenda sawa.
Ngoma ni kali sana.nimeeielewa sana itafika mbali sana.Bigup kijana
Mbona Rebecca 83 kashaeleza kila kitu hapo juu.nothing moreSababu yako ya kusema ana taka aifikishe muziki mbali ni ipi?