Tatizo lazima itoboe mbeleVideo lazima ifungiwe mark my words.
Hahahahhhaa unang"ata na kupuliza chifuu
Video imekuwa ya Kimagharibi sana wkt muziki wake Unapendwa na watoto hadi wazazi,,,angepunguza kdogo km sauti yake tayali imeshahit,,Jealous down wakuu. Nyimbo kali, Omarion kasimama nawish ange anza yeye.
Ila jamaa naye kazingua wangetoa video nzuri tu ya kawaida ipigwe bongo kila sehem, it was unneccessary kuifanya hvo walivo itoa.
Hahahah
Hamna man naongea ukweli, kipande kidogo tu kilikuwa si cha kuharib wimbo mzima mkali kias hiki ufingiwe.
Daaah! Jamaa yaan kaufumua wimbo hafi raha yaan.mwenye bongo freva yake,,,verse ya pili jamaa ametisha sana
Diamond kwa hapa bongo ana washabiki wengi kuanzia watoto mpaka watu wazima kabsaa. Angelifikiria hilo asiwanyime raha watu ambao wange weza kukaa sebuleni na kuucheki wimbo kupitia ITV au channel 10. Wimbo wa Adele unaonesha giza giza tuu ila ndio una viwers wengi kuliko hata nyimbo za wakaa uchi. Song ikiwa kali namna hii, mzungu hata aoneshwe watu wamepiga kanzi tuu ana ikubali.Video imekuwa ya Kimagharibi sana wkt muziki wake Unapendwa na watoto hadi wazazi,,,angepunguza kdogo km sauti yake tayali imeshahit,,