bora niolewe mara ya pili
nimiliki waume wawili,shemejio
wa kwanza naona majukumu mengi!
hakikisha unampelekea loya kadi ya mwaliko!!
cc Excel!!
mtumeeee........ Pacha unataka loya animeze mzimamzima???? Labda shemejio Arushaone ampelekee mie namuogopa atii
mipango ishakamilika my queen!!.... naona Lady doctor yuko nyuma anaruka ruka kwa furaha na kiroho cha umbea!!
watuwache tulane!!!.. nikule nawe unile!! iam yours...!! you are mine!!
shem ni mimi huyu huyu!!
nduguyo yupo busy na kazi
utadhani alioa kazi ebooo,imebidi
nimtaftie msaidizi kabisa,na ndoa ya halali
tunafunga ili wawe wawili kihalali,mechoka mie khaa!!
Shem !
Huyu ndiye wewe yule wa siku zote?
Ama ni kwamba upo bwaksi ?
Baadae utatuomba razi au?
Ama "umevurugwa" na chejo la huyu bwa mdogo kwa kukudizainisha midizaini ya kizazi kipya ?
Nafikicha mboni zangu , siamini namna nionavyo righthand wangu loya unavyojaribu kumnyanyasa .
Arushaone uko wapiiiiii??? mbona hii ndo mida ya kupata chakula ya asubuhi kaka?? where is you???
ujue beibe Lady doctor anamuogopa
shem wake wa kwanza mi nimemwambia
asiogope,yule nishamlimbwata kitambo sana!!
shem hata mie nilifikiri pacha angu ananitania, kumbe anafanya ki kwelikwelii..... Yaani hapa wamenipa kazi ya kusambaza kadi za arusi hadi machozi yananitoka nikimkumbuka loya halafu huyu shemeji mpya ananiambia nina wivu nitammwagia up pu mie
Usiombe mwanamke anaekunika kimikito Shem! Huaga hasikii la Sheikh wala la Buruda !
Chezeiyah mkuno weyee !
muache mume wangu, yupo bize anajenga nchi asije akapindisha ukuta bureeee
basi Passion Lady kampata anae mkuna haswaa.....!
shem ni mimi huyu huyu!!
nduguyo yupo busy na kazi
utadhani alioa kazi ebooo,imebidi
nimtaftie msaidizi kabisa,na ndoa ya halali
tunafunga ili wawe wawili kihalali,mechoka mie khaa!!
habri yako mpendwa ....!! karibu tupate dinner..!!!
mke wangu wa nini tena jamani???
mtuwache tulale!!!!!
hii hali si nzuri...! mbona naanza kuhisi mabadiliko na mimi!! Lady doctor naomba maelezo hapa pacha wako anaanisha nini!!?
ujue beibe Lady doctor anamuogopa
shem wake wa kwanza mi nimemwambia
asiogope,yule nishamlimbwata kitambo sana!!
​we sema tu bby usiogope hahaa!!
Au ndo style ya kumrejeza kwenye pitch ?
But kumbuka "penati huwa haitolewi pasi"
hahahaaaa!!pacha maombi yamejibiwapacha mumeo alikuwa kila siku ana funga na kuomba kwaajili yangu ili ndoa yangu ivunjike kumbe yake imemshinda ngoja aje nimcheke
and ofcourse inabidi nifanye mapema kabisa kabla wanga hawajaamka!!