Official statement: Baba V is out


Kifo ndo kitatutenganisha

CC Eli79
 
Last edited by a moderator:

pacha ubunifu we acha tu
Eli79 atajiju,atayamis mahabati
Excel umutima wange ni wewe,nakupendaje
habibty,njoo nikuogeshe switito!! Ruttashobolwa
mi natania tu hahaaa!!

mahabuba wangu...!! mpendwa wangu... mama wangu wa moyo!! passion... Passion Lady!!

ntakuwa nawe milele... milele na milele!!! wivu uwaume mpaka wajinyonge nyonge!!!

I LOVE YOU!!! MMMMMMWAAAAAAHHH!!!!!
 
Last edited by a moderator:
chezea ma habati wewe shem langu la kando Excel lazima unenepe mwaka huu.

ndani ya wiki hii naitangaza rasmi ndoa yangu na mailavuli wangu Passion Lady..!! tumefanya kwa siri mnooo!!!

nataka sasa dunia ikae ikijua wazi kwamba....!!! MAPENZI YAMEZALIWA UPYAAAAA!!!
 
Last edited by a moderator:

hakuna aliezimia kwa kauli hii
love u toooo swr,mwah mwah mwaaaaaaaaaaah!!
 
chezea ma habati wewe shem langu la kando Excel lazima unenepe mwaka huu.

bora niolewe mara ya pili
nimiliki waume wawili,shemejio
wa kwanza naona majukumu mengi!
hakikisha unampelekea loya kadi ya mwaliko!!
cc Excel!!
 
Last edited by a moderator:

fanya fasta beibe,nikumiliki mie
nikupe vitu adimu unenepe mtt wa
mwanamke mwenzangu lolz!!
 

bora niolewe mara ya pili
nimiliki waume wawili,shemejio
wa kwanza naona majukumu mengi!
hakikisha unampelekea loya kadi ya mwaliko!!
cc Excel!!

mtumeeee........ Pacha unataka loya animeze mzimamzima???? Labda shemejio Arushaone ampelekee mie namuogopa atii
 
Last edited by a moderator:
Arushaone ye ana cheo chake humu kasoro wewe na huyo kaka ako Eli79 kwahiyo mkipenda mwaweza fanya kazi pamoja wapendwa

MiMi na Eli79 are the boss of our own heart and soul...vyeo ambavyo vinatupa furaha na amani tele...we don't need any.
 
Last edited by a moderator:

bora niolewe mara ya pili
nimiliki waume wawili,shemejio
wa kwanza naona majukumu mengi!
hakikisha unampelekea loya kadi ya mwaliko!!
cc Excel!!

mipango ishakamilika my queen!!.... naona Lady doctor yuko nyuma anaruka ruka kwa furaha na kiroho cha umbea!!

watuwache tulane!!!.. nikule nawe unile!! iam yours...!! you are mine!!
 
Last edited by a moderator:

fanya fasta beibe,nikumiliki mie
nikupe vitu adimu unenepe mtt wa
mwanamke mwenzangu lolz!!

naja naja baby!!!... MMMMMMMWWWWWAA!!!!!!!!... shavuni, kwenye lips, kifuani na kueleka chini huko..!!!!

aah!! mengine sisemi...!! pacha wako Lady doctor atakufa kwa mipresha ya wivu!!

 
naja naja baby!!!... MMMMMMMWWWWWAA!!!!!!!!... shavuni, kwenye lips, kifuani na kueleka chini huko..!!!!

aah!! mengine sisemi...!! pacha wako Lady doctor atakufa kwa mipresha ya wivu!!

atakae kufa kwa presha ni huyo anae nyang'anywa tonge mdomoni mie ninawangu ametulia tuliiiiii!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
atakae kufa kwa presha ni huyo anae nyang'anywa tonge mdomoni mie ninawangu ametulia tuliiiiii!!!!!!
Arushaone uko wapiiiiii??? mbona hii ndo mida ya kupata chakula ya asubuhi kaka?? where is you???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…