Si unajua typing error halafu huenda mtu alihack id yangu lol. Nashukuru kama hajambo msalimlie sanahahahahaa..... Maana nilijiuliza kwenye haya mapinduzi babu wa loliondo kafikaje LOL!
shemejio hajambo kabisa!
Hebu yaainishe na pia ainisha na strength za hawa power mongers.. Tutafika tu.
Heri wale ambao wameshawahi kuwa na ndoa hapa wangesema, hata ndoa huijui na wewe umo tu. BTW msalimie jael lady..
Kwa hisani ya watu wa LUMO
You speak high and mighty huh...! I know your price dogo. Endelea kupiga blah blah.. be prepared.
Ablessed.. Goodmorning kwanza!!Hahahahahahahahahahaha jamani si nimeuliza tu basi naacha please Excel usije mwaego nimeacha kuchakachua siredi za watu mweee bora ukiwa na mdogo maana anakustua unapotoka nje ya mada . Asante sana vipi shemeji yangu hajambo lkn.
Naona unaota ndoto za mizimu.
Unaijua Lumo wewe: Kigilagila, Relini, Mwisho wa lami..................Kwa Jimmy (Woodland pub), Ikizu e.t.c. Unachekesha
Naona huelewi the strenght of power. Muulize Zitto atakwambia
Ablessed.. Goodmorning kwanza!!
then naomba kwa heshima na taadhima...! unieleze kwa kina, ni nini ninyi wawili mnachonichakachua hasa?
ndoa za mitara ni ngumu sana mjue!!.. uwezo wa kumiliki wake watatu katika dunia hii ya mfumuko wa bei..! ni kazi nzito!
Pigia msitari, afu niletee ripoti ya Ileje tafadhali.
Heri wale ambao wameshawahi kuwa na ndoa hapa wangesema, hata ndoa huijui na wewe umo tu. BTW msalimie jael lady..
Kwa hisani ya watu wa LUMO ..
sikuletei, umeniudhi sana!!!!!!!
achane naye huyo mlugaluga aisiye na haya ya uso kwani uongozi umeshamshinda awaachie wenzake tushike nyadhifa wewe m/kiti yeye. katibu yeye uliona wapi viti 2 kushikwa na mmoja amwambie mwenzake zitto yaliyomsibu sasa hana lake asikutishe tutaomuondoa tu madarakani kwa mwaka huu bestito
itabidi safari hii mwenyekiti wa humu CC awe mwanamke cousin mie naona wanaume wote wameshindwa!
Heri wale ambao wameshawahi kuwa na ndoa hapa wangesema, hata ndoa huijui na wewe umo tu. BTW msalimie jael lady..
Kwa hisani ya watu wa LUMO
tukianza na ya Bishanga maana simuoni siku hizi
Usiwe na mashaka unajua wakati mwingine hizi keyboard huwa zina virus sasa ktk typing nkajikuta nimetype kitu nje ya mada lkn namshukuru Mungu nikashikwa bega na Lady doctor kuwa nimepoteza mwelekeo . Kwa hiyo imesaidia kustopisha uchakachuaji wa siredi. Hao wake 2 wanakutosha kamwe usiongeze wa 3 watakuua kwa presha.Ablessed.. Goodmorning kwanza!!