Wizara zitakuwa hivi:
1. Lugha na mtiririko wa misamiati mipya
2. Usalama na nidhamu
3. Mavazi na burudani
4. Mahusiano na majukwaa mengine
5. Ofisi ya Rais kazi maalum (huyu lazima atakuwa mwanamke)
6. Mambo ya ghafla, madikodiko, umateumate na mashindano
7. Jinsia na Wazee
8. Pombe na bia
Kwa kadri nitakavyoshauriwa na timu yangu ya washauri nitapunguza ama kuongeza Wizara.
NB: Wale ambao wanahisi wanaweza kuwemo kwenye Baraza hili waanze kuandaa suti na au madera. Soon nitatangaza majina yao.
Ahsanta:
Platozoom
Rais serikali ya mpito Chitchat.
Umeona eeeeee!
umejuaje best kama Baba V ameharibu ndoa zetu hapa mjengoni na tena amekuwa mkware ile mbaya jamani
Kwamba kwanza huyu anayejiita Baba V hakuchaguliwa na kikao halali, na kubwa zaidi amesababisha ndoa kadhaa kuvunjika hapa CC. Ukiacha hilo imegundulika kuwa ana mahusiano yasiyo rasmi na Wana CC wa kike wanaokuja kuomba ushauri, na kwamba yuko 'too local'.
Mbona nipo salama kabisa.
Nafikiria kukuteua uwe afisa udukuzi
Umesahau USHAURI NASAHA NA KUPIMA.....Mimi mwenyewe mkuu wa kitengo
Loya naona bado hujawek pingamizi!!!
Kuna washauri wangu wananiambia nikupeleke ubalozini kule Jukwaa la wakubwa. Bado nafikiria
Mtoto mzuri kama wewe siwezi kukuhonga............nakupa tu.
U-hali gani binti uliyeumbwa ukaumbika.
We mwache hilo na nalifananisha na zigo la misumari mgongoni