sidhani kama utafanikiwa kwa hilo
afu sikujua kama unanifahamu asante kwa kunimention
Nitakaa na washauri wangu mahiri na mtapewa taarifa.
Kabla baba v hajakukabidhi ofisi nikusanyie cv zako ili niidhinishe utendaji wako maana unaonekana hauko makini. Kwanza unasema leo ijumaa wakati ni jumamosi hilo linaonyesha hata maamuzi utakayokuwa unayatoa yatakuwa nyuma ya siku moja
Erickb52 Alikuwa amelewa viroba. Usimzingatie sana! Umenierewa waitu
Alafu platozoom hivi unaelewa hapa siku hizi wale Members wanaokuja mjengoni once per moon , then wanapotea wanaitwa "member mizigo"?
Unakubali cheo cha
Chairman wa humu kinahusishwa sana na ufisadingono !
Sema machache ktk hilo .