Office ya Lowassa

Office ya Lowassa

yap huyu kaeleza vizuri ukifika eneo husika pameandikwa ALFA LAUNDRY NDO HAPO HAPO LAKINI USIENDE BILA APPOINTMENT HUTAMWONA NA SIELEWI SAIVI BT KABLA CCM HAWAJAMZUIA KUONANA NA WATU WENYE KUHITAJI KUONANA NAE ILIKUWA INAKUCHUKUWA C CHINI YA MIEZI 2 HADI UPATE APPOINTMENT. MZEE YUKO BUSY MNO TENA ANA AKILI SANA HUYO MZEE MIE NILIWAHI KWENDA HAPO. THE MAN IS GENIOUS FRANKLY SPEAKING AN VIABLE & VERY CONSTRUCTIVE IDEAS [MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPE]- I WISH ONE DAY THE GUY MUNGU AMJALIE AFYA AWE PREZIDA WA TZ REAL TUTAENJOY COZ THE MAN IS TOUGH IN ACTION AND IDEAS.

Sijui Nikupe Zawadi Gani Mwana JF Mwenzangu. Umemaliza Kila Kitu.......Lowassa Binafsi Namkubali Kwa 100% Zote.
 
muulize apson aliyekuwa mkuu wa usalama ambaye kwa sasa ni msatafu ndiye yupo kwenye kamati yake ya ushindi.

Nina Uhakika Kuwa Wewe Ni Mfanyakazi Wa SSIT Kwani Mtu tu Wa Kawaida Kama Mimi GENTAMYCINE Siwezi Kujua Kuwa Former Intelligence Chief Mzee Apson Yupo ktk Kamati Ya Ushindi Ya Rais Mteule Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Edward Ngoyai Lowassa. Endelea Tu Kutujuza Mkuu Kwani Sisi Wanyonge Tunajifunza Mengi Mno Na Tunafaidi Sana Kuwa Na Watu Wa SSIT Humu JF.
 
Kamanda ningekushauri kitu kimoja cha Msingi!!!

Kama unashida nae ya kiofisi kupatikana kwake ni Monduli,huko unampata bila ya tatxo lolote,but huwezi jua yuko wapi kwa wakati u want to meet him!!

Second kama unashida binafisi,nenda kwake Masaki karibu na ubalozi wa South Africa!! Utakutana na mapolisi getini eleza shida yako,utapewa utaratibu!!
No ya simu ya Lowasa au mlinzi wake zipo,zinapatikana,but kumbuka Lowasa ni mtu mkubwa kupokea simu yako si kilahisi kama tunavyofikiria!!

Na Nadhani Mlinzi Wake Mkuu Ni Mmoja Wa Waliokuwa Walinzi Mahiri wa Hayati Baba Wa Taifa Mzee ILA Kimaadili Siwezi Kumtaja ILA Hata Huyo ADC Ni Mtu Powa Mno Na Anaingilika Hivyo Ukimpata Huyo basi Ujue Umeshaonana Na Rais Edward Lowassa.
 
Kumbe unamjua mlinzi wake??
Ni mtu poa sana, no yake ninayo!!
 
yap huyu kaeleza vizuri ukifika eneo husika pameandikwa ALFA LAUNDRY NDO HAPO HAPO LAKINI USIENDE BILA APPOINTMENT HUTAMWONA NA SIELEWI SAIVI BT KABLA CCM HAWAJAMZUIA KUONANA NA WATU WENYE KUHITAJI KUONANA NAE ILIKUWA INAKUCHUKUWA C CHINI YA MIEZI 2 HADI UPATE APPOINTMENT. MZEE YUKO BUSY MNO TENA ANA AKILI SANA HUYO MZEE MIE NILIWAHI KWENDA HAPO. THE MAN IS GENIOUS FRANKLY SPEAKING AN VIABLE & VERY CONSTRUCTIVE IDEAS [MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPE]- I WISH ONE DAY THE GUY MUNGU AMJALIE AFYA AWE PREZIDA WA TZ REAL TUTAENJOY COZ THE MAN IS TOUGH IN ACTION AND IDEAS.

Nakuunga mkono kwa asilimia zote. EDWARD yupo vizuri sana kweli.
 
Huyu si ndio Mbunge wa Monduli, inakuwaje sasa office zake ziwe Dar? Au ndo yaleyale.
acha umbumbu wewe kwani amna wakazi wa jimbo lake la monduli waishio dar , tena ndio ilitakiwa kwa kila mbunge afanye hivyo lakini wabunge wetu wengi wanategemea pesa za wananchi
 
Sasa wewe kichwa maji mbona unatapika hapa badala ya kuandika vitu vya msingi? Nyinyi ndo wale punguani mnaosupport kuona viongozi wakizurura tu Dar baada ya kwenda kwenye majimbo yao kuleta maendeleo na kutatua matatizo na migogoro ya ardhi. Siyo unazungumza kama unakata roho kicheche wewe.
 
Lowasa ni mbunge. Namba zoote na email za wabunge na mawaziri ziko kwenye website ya bunge.
uwe mtundu kidogo na wewe. ninyi ndio mnauliza vyoo Dar

safi sana kaka. kwa technology hii co vigumu kupata contacts za mtu. uvivu tu kaka unatusumbua. thanks
 
yap huyu kaeleza vizuri ukifika eneo husika pameandikwa ALFA LAUNDRY NDO HAPO HAPO LAKINI USIENDE BILA APPOINTMENT HUTAMWONA NA SIELEWI SAIVI BT KABLA CCM HAWAJAMZUIA KUONANA NA WATU WENYE KUHITAJI KUONANA NAE ILIKUWA INAKUCHUKUWA C CHINI YA MIEZI 2 HADI UPATE APPOINTMENT. MZEE YUKO BUSY MNO TENA ANA AKILI SANA HUYO MZEE MIE NILIWAHI KWENDA HAPO. THE MAN IS GENIOUS FRANKLY SPEAKING AN VIABLE & VERY CONSTRUCTIVE IDEAS [MNYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPE]- I WISH ONE DAY THE GUY MUNGU AMJALIE AFYA AWE PREZIDA WA TZ REAL TUTAENJOY COZ THE MAN IS TOUGH IN ACTION AND IDEAS.

Hukuwa na haja ya kuzunguka hivi kama lengo lako lilikuwa ni kumpamba tu huyu mgonjwa Lowasa.
 
Msaidieni bila kumkejeli

Lowassa ni binadamu kama ulivyo isipokuwa mara nyingi hapokei simu kutokana na ubusy alionao! Hana shida yoyote na mtu unless kama unakuwa unakusudia jambo baya. Fika nyumbani kwake utapewa utaratibu.
 
Back
Top Bottom