Offer! Pd proxy vouchers for 5500 tzs each (only 50 available)


Duuh mkuu karibu sana jamiiforums tena maana itabidi nichukue na namba yako ili ukipotea tuwe tunachonga
 
  • Da! mkuu ulipotelea wapi?. Kitambo sana hujasomeka hapa jukwaani. Welcome Back mkuu.
 
mkuu karibu sana tulikumiss sana,tunatarajia vitu vipya ulivovigundua huko chimbo!!!
 


Hii ndo inakuaje mkuu?
 
jamani wengine hatujajua hii [h=2]Pd proxy vouchers inahusika na kitu gani au ni vouchers kwa matumizi gani natanguliza shukrani[/h]
 

'vipi kwa simu inapiga mzigo kama kawa mkuu ni Android samsung galaxy mini 2 GT-S6500D...'
 
got a 20+ bonus, so nimepata voucher zingine 20, na kati ya izo zimebaki 15 bei ile ile walionicheki mwishoni na kuwambia washakosa, wahi sasa usikose tena.
 
Lol!mm nikajua ni 50 available kumbe sabini
sabini itazaa 90 itazaa 110
 
thanks brother e2themiza nlikuwa sijui kuhusu hizi pd-proxy ila kwakutaka kujaribu tuu nikanuua hiyo voucher kwa mkuu e2themiza jamaa yuko fresh kwa help & support sasa hivi ni extreme unlimited internet with pd-proxy
 
Last edited by a moderator:
Sielewi kitu jaman...hyo ndo inakuwagaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…