VALENCE MUGANDA
Member
- Dec 1, 2012
- 53
- 2
Kwa sababu zilizo nje ya Uwezo wetu PD proxy,TroidVPN na DroidVPN hazipatikani tena hivo kama ulikuwa na acc ya Pd proxy i-pause na kama haujui jinsi ya kupause ntakupa msaada:
Pia wale wa DroidVPN unaweza ku-pause subscrption yako
Wale wa ToidVPN basi anza kutumia Unlimited internet yako kwa kutumia PC
Kwa sasa na deal tu na wale wanaotaka kuunga Unlimited Internet kwenye PC kwakutumia TCP na HTTP tunneling
Internet kupitia VPN kwa Windows
Kwa wale ambao mshatumia huduma hizi za VPN kupata internet bila Kikomo basi mtakuwa mnajua huu mchezo
Kama wewe ni Mtumiaji wa hizi VPN hapa chini au unataka jiunga hii inakuhusu
Internet kupitia VPN kwa watumiaji wa Android
Kwa watumiaji wa hii huduma kwa upande wa Android soma kwa makini hapa na fuata haya
- Navigate settings>About phone/tablet>Android version
- Ikiwa ni version 4.0.3-4.4 basi utaifidi huduma hii bila hatua ya ku-root na wala usijisumbue kusoma haya ya chini
- Ikiwa ni version 2-3.5 basi utaitaji Root acess na kujua maana ya kuroot nenda HAPA
- Kujua kama simu yako iko rooted au la basi download App inaitwa Root explorer kutoka Google playstore au snapshot for android uki-install nakujaribu kutumia hatakupa jibu
- Ntaweza kukupa msaada wa ku-root kama unatumia simu ya kawaida na iliyo common
DROIDVPN
TROIDVPN
Mahitaji ya Kujiunga
- Computer inayotumia Windows OS
- Modem inayoingiza Line zote itafaa zaidi
- Kwa watumiaji wa Android OS Tablets/Phones unaitaji Android Version 4.0.3-4.4 Chini ya Hapo ROOT ACESS inaitajika
Vigezo na Mashariti
- Utapewa Dakika 5-10 za kujaribu kuona inafanya Vipi kazi na speed yake iko vipi(kwa kutumia HTTP tunneling hii haitowezekana maana acc moja haitumiki zaidi ya pc moja lkn ni call ntakupa utaratibu)
- Iwapo utaridhika na utaitaji kulipia basi utatuma hela kwenye namba yangu ya M-Pesa ambayo ntaweka hapo chini
- Baada ya kulipa utaforward message yenye JINA MTUMAJI na Transaction ID ya M-pesa/Tigo pesa
- Baada ya hapo Claim kupewa Voucher au Login details amabayo inachukua 2mins kukutumia
MAWASILIANO NA MALIPO
- Phone number:0757189488
- M-pesa acc:0757189488
- 0716288967
HESHIMA KATIKA BIASHARA
Kila mtu anayo kazi yake na hakuna mtu anapenda kazi yake idharaulike
Hivo sitopendelea mtu kutoa maneno ya kebei wala kutangaza biashara yake ndani ya hii ya THREAD
Na imani Uongozi utasaidia kwa hili maana uwanja huko wazi na kila mtu anaweza toa matangazo ya huduma zake
PICHA ZA VIFAA VINAVYOTUMIKA