Offer!JIPATIE INTERNET YENYE KASI YA AJABU NA BILA KIKOMO KWA MWEZI MZIMA KWA MALIPO YA 8,000/=

Dec 1, 2012
53
2
Kwa sababu zilizo nje ya Uwezo wetu PD proxy,TroidVPN na DroidVPN hazipatikani tena hivo kama ulikuwa na acc ya Pd proxy i-pause na kama haujui jinsi ya kupause ntakupa msaada:
Pia wale wa DroidVPN unaweza ku-pause subscrption yako
Wale wa ToidVPN basi anza kutumia Unlimited internet yako kwa kutumia PC

Kwa sasa na deal tu na wale wanaotaka kuunga Unlimited Internet kwenye PC kwakutumia TCP na HTTP tunneling





Internet kupitia VPN kwa Windows

Kwa wale ambao mshatumia huduma hizi za VPN kupata internet bila Kikomo basi mtakuwa mnajua huu mchezo
Kama wewe ni Mtumiaji wa hizi VPN hapa chini au unataka jiunga hii inakuhusu



Internet kupitia VPN kwa watumiaji wa Android

Kwa watumiaji wa hii huduma kwa upande wa Android soma kwa makini hapa na fuata haya

  • Navigate settings>About phone/tablet>Android version
  • Ikiwa ni version 4.0.3-4.4 basi utaifidi huduma hii bila hatua ya ku-root na wala usijisumbue kusoma haya ya chini
  • Ikiwa ni version 2-3.5 basi utaitaji Root acess na kujua maana ya kuroot nenda HAPA
  • Kujua kama simu yako iko rooted au la basi download App inaitwa Root explorer kutoka Google playstore au snapshot for android uki-install nakujaribu kutumia hatakupa jibu
  • Ntaweza kukupa msaada wa ku-root kama unatumia simu ya kawaida na iliyo common



DROIDVPN

TROIDVPN

Mahitaji ya Kujiunga

  • Computer inayotumia Windows OS
  • Modem inayoingiza Line zote itafaa zaidi
  • Kwa watumiaji wa Android OS Tablets/Phones unaitaji Android Version 4.0.3-4.4 Chini ya Hapo ROOT ACESS inaitajika


Vigezo na Mashariti

  • Utapewa Dakika 5-10 za kujaribu kuona inafanya Vipi kazi na speed yake iko vipi(kwa kutumia HTTP tunneling hii haitowezekana maana acc moja haitumiki zaidi ya pc moja lkn ni call ntakupa utaratibu)
  • Iwapo utaridhika na utaitaji kulipia basi utatuma hela kwenye namba yangu ya M-Pesa ambayo ntaweka hapo chini
  • Baada ya kulipa utaforward message yenye JINA MTUMAJI na Transaction ID ya M-pesa/Tigo pesa
  • Baada ya hapo Claim kupewa Voucher au Login details amabayo inachukua 2mins kukutumia


MAWASILIANO NA MALIPO


  • Phone number:0757189488
  • M-pesa acc:0757189488
  • 0716288967


HESHIMA KATIKA BIASHARA
Kila mtu anayo kazi yake na hakuna mtu anapenda kazi yake idharaulike
Hivo sitopendelea mtu kutoa maneno ya kebei wala kutangaza biashara yake ndani ya hii ya THREAD
Na imani Uongozi utasaidia kwa hili maana uwanja huko wazi na kila mtu anaweza toa matangazo ya huduma zake

PICHA ZA VIFAA VINAVYOTUMIKA


rb3h.png



0ov2.jpg
 
Jamaa ni mtu mwenye kutoa ushirikiano sana.japo tablet yangu model A721 yenye OS ya android 4.0.4 iligoma kwa sababu hiyo App sio compatible.asante sana bro.ngoja nijipange ninunue kitu ya hatariii nitakuchek
 
hii kitu inasumbua sana upo net unashangaa imezima

unachokiongea unakijua au matatizo yako ndo unakuja ku-express hapa
Kama umeuziwa bomu sema tukusaidi na sema waapi unapata shida upate msaada
Kama umeuziwa mangula usifikiri utakula kama waliouziwa original
 
unachokiongea unakijua au matatizo yako ndo unakuja ku-express hapa
Kama umeuziwa bomu sema tukusaidi na sema waapi unapata shida upate msaada
Kama umeuziwa mangula usifikiri utakula kama waliouziwa original

Mkuu naweza unganishwa na galaxy s7562 duos?
 
huduma hii mbona nilipewa maelezo kua ni kwa wale wanaotumia huduma za vodacom pekee.

je sisi tunao tumia huduma za tigo mnatusaidiaje..
majibu tafathali..
shukran..
 
huduma hii mbona nilipewa maelezo kua ni kwa wale wanaotumia huduma za **** pekee.
je sisi tunao tumia huduma za **** mnatusaidiaje..
majibu tafathali..
shukran..

Mkuu kwenye hii thread vitu vilivyofichwa havipaswi kutajwa
Rekebisha hiyo sehemu njoo PM nikusaidie
 
Nimependa namna ulivyojitanga...I really do...ila it seems the upload and download things are very slow...16 kb/s?! Or does it depend on location?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom