Pure Mathematics
Senior Member
- Mar 8, 2012
- 174
- 52
Ujumbe unaoweza kukuharibia mood katika siku yako:
1. Nakuja kuchukua hela yangu mida hii
2. Samahani tumepata ajali na gari lako
3. Nina mimba yako
4. Nimepata majibu sio mazuri
5. Nimemuona shem anaingia guest na hawara'ake
6. Sikutaki tena..
WEWE NI IPI INAKUPOTEZEA POZI . . . Jimwage hapa

mtoto hajala vizuri leo.
unamdai mtu milioni 30 alafu unasikia amekufa ghafla