Ofaaa bab kubwaaa ya nissan xtrail

Ofaaa bab kubwaaa ya nissan xtrail

muuza magari

Senior Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
114
Reaction score
190
Gari ipo Japan na inachukua siku 30 kufika pindi unapo agizia na hiyo gharma ni GHARAMA KAMILI PAKA GARI LINAKUFIKIA MKONONI IKIWA NA KILA KITU KASORO BIMA na pia hamna gharama zozote zitakazo ongezeka zaidi ya hapo.
MALIPO HUFANYWA KWA AWAMU TATU (3)

1) Unalipia CIF yani bei ya kutoka japan paka bandari ya Dar es salaam

2) Malipo ya kodi TRA gari inapokuwa imefika au kukaribia kufika bandarini

3) Clearing ni malipo utakayo fanya baada ya gari kufika bandarini tayari kwa kutolewa

Milioni 10.8 total cost paka unaipata mkononi ikiwa na vibali vyote KASORO BIMA TU

MAHALI – QUALITY CENTRE- Nyerere Road, SHOP G4, GROUND 1 EAST EXIT
P.O. Box 40563, Dar Es Salaam, TANZANIA
☎℡: +255 712 006 562
☎Phone: +255 789 031 322
✆Whatsapp: +255 712 006 562
Skype Id: khalidguffuautocom
khalid@autocj.co.jp


01.jpg
02.jpg
04.jpg
03.jpg
05.jpg
07.jpg
08.jpg
16.jpg
 
Daaaah, bei nzuri hadi raha, mkuu hii total cost ni yenyewe kweli?, sio baadae zinaanza stori oooh ongeza million 2,tutauana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom