Agiza toyota harrier 2015 kwa bei rahisi zaidi

muuza magari

Senior Member
Jan 17, 2017
114
190
Gari ipo Japan na inachukua siku 30 kufika pindi unapo agizia na hiyo gharma ni GHARAMA KAMILI PAKA GARI LINAKUFIKIA MKONONI IKIWA NA KILA KITU KASORO BIMA na pia hamna gharama zozote zitakazo ongezeka zaidi ya hapo.
MALIPO HUFANYWA KWA AWAMU TATU (3)

1) Unalipia CIF yani bei ya kutoka japan paka bandari ya Dar es salaam

2) Malipo ya kodi TRA gari inapokuwa imefika au kukaribia kufika bandarini

3) Clearing ni malipo utakayo fanya baada ya gari kufika bandarini tayari kwa kutolewa


Vehicle Information
Year 2015
Maker TOYOTA
Name HARRIER
Transmission AT
Drive 4WD
Color SILVER
Fuel G
C.C. 1980
Mileage 61,000km


Milioni 89.3 total cost paka unaipata mkononi ikiwa na vibali vyote KASORO BIMA TU




MAHALI – QUALITY CENTRE- Nyerere Road, SHOP G4, GROUND 1 EAST EXIT
P.O. Box 40563, Dar Es Salaam, TANZANIA
☎℡: +255 712 006 562
☎Phone: +255 789 031 322
✆Whatsapp: +255 712 006 562
Skype Id: khalidguffuautocom
khalid@autocj.co.jp











01.jpg
03.jpg
08.jpg
09.jpg
05.jpg
02.jpg
11.jpg
13.jpg
25.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom