muuza magari
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 114
- 190
- Thread starter
- #121
Mkuu naomba kujua bei ya IST ama VITZS (sina hakika majina yake)
Kila ninapo sema nisubiri nijipange ninunue gari la HESHIMA...
Pesa haikai...ngoja nianze na UTO..
Naombeni BEI ....Siriaz...!!
IST budget huanzia milioni 10 apo unapata gari mkononi ikiwa na vibali vyote kasoro BIMA
VITZ old model budget inaanzia 7.8 - 9.5milioni apo unapata gari mkononi ikiwa na vibali vyote kasoro BIMA