muuza magari
Senior Member
- Jan 17, 2017
- 114
- 190
- Thread starter
- #81
zipo boss wangu unataka IST ya mwaka gani ?Mkuu,
Unayo Toyota IST au CARINA Ti bei zake zikoje?
Na carina ya mwaka gani?
ila mara nyingi IST huwa zinaanzia milioni 10 paka unaipata mkononi ikiwa na vibali vyote tayari kasoro bima tu na huwa ni za mwaka 2002-2003